Bunge Lijalo na Maendeleo ya Nchi Yetu

Sabi Sanda

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
409
31
Wakuu,

Uchaguzi Mkuu ndiyo huo unakaribia na wiki si nyingi tutapata Wabunge wetu toka kila kona ya nchi yetu pamoja na wale wa Viti Maalum.
Kutokana na nafasi ya Bunge letu katika maendeleo ya nchi yetu, nini hasa matarajio yako kama Mtanzania katika Bunge lijalo na ungependa yapi yawe masuala makuu ya kujadiliwa na Bunge letu na kutolewa uamuzi na maazimio kwa ajili ya kutekelezwa na Serikali kuu? Na pia unafikiri nini hasa Wabunge wetu wanapaswa wafanye ndani na nje ya Bunge ili kuongeza ufanisi katika kazi zao?
 
Back
Top Bottom