Bunge la sasa lanitia mashaka!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
804
Nimekuwa nikifatilia vipindi vya Bunge hili runingani almost toka siku yakwanza, binafsi sijapata picha hili ni bunge la aina gani, hoja zamsingi zinakuwa ignored kwa mitizamo ya kichama, wanawake wamekuwa wengi kiasi kwamba kuonyeshana udume na kupeana mipasho kumezidi, spika aeleweki mtazamo, kanuni zinatenguliwa, pasipo kujali mitazamo na tofauti za kiitikadi wapinzani wanaunganishwa, kambi rasmi kuu ya upinzani inapuuzwa duh! Ktk hali hii mashaka yaja, nawasiwasi utendaji wake!
 
Ni speaker anayeluharibu kwa kuwa dicteta! Anatoa mwongozo pale usipohitajika na kuomba ushahidi pale muongozo unapoombwa! Ni kihiyo anayewakilisha vikaza waliompigia kura ! Kama si vilaza bass wamtose ktk kura ya kutokuwa na imani naye ikitokea kuitishwa!
 
Sijui kama kuna nchi iliwahi kuwa na bunge la ajabu kama hili letu la wiki iliyopita. Labda wiki ijayo litabadilika.
 
wasiwasi wangu mimi ni spika wa kuwekwa na sio kuchaguliwa hilo ni tatizo nadhani CCM walifanya kilekile walichofanya kwenye kura za maoni kwa kushinikiza watu wamchague spika huyo kweli huu ni ubabe wa wazi kabisa!
 
Kimsingi kabisa, TANU iliimarishwa kwa kupiga marufuku vyama vingine vya upinzani, wala katika sera za CCM hakuna faida yoyote ya upinzani. Kumbe wangeweza kuupanga upinzani vizuri na kuteka mawazo mazuri ya upinzani. System ya mawazo mgando, yaani ya USSR zamani ndo inatumika. Lakini USSR ilishasambaratika. Kweli sikio la kufa halisikii dawa. Tuongeze kuelimisha wananchi kinachotokea hivi sasa.

Tuunde vyomba vya kitaifa:
Umoja wa vijana Tanzania BAVITAL
Umoja wa Wanawake Tazania BAWATA
NK

Vyombo hivi vimenyongwa kutusamaratisha. Bunge hili litatoa umaarufu kwa upinzani na linaweza kumfanya mama nanihii kuwa kama Gobachev (Chombo cha kuiua CCM).

(Kumbe two fingers ilikuwa inatumika Misiri, hata neno people's power)
Duh.
 
Huyu mama amekuwa MIKE badala ya SPEAKER. Akiinua macho yake tu yakakutana na RA ana loose comfidence kwani huyu ndie aliyemtumia bahasha kutoka kwa mafisadi wa nchi hii wakimtaka agombee uspeaker kinyume cha Mh Sitta.
.
 
hivi huyu mama makinda anafanya kazi kwa maslahi ya nani? nina mashaka pia na uwezo wake na utashi wake wa kufikiri.
 
hivi huyu mama makinda anafanya kazi kwa maslahi ya nani? nina mashaka pia na uwezo wake na utashi wake wa kufikiri.
zumbe ,unajua hawa jamaa sisimi (ccm)hawataki kuwa na mtu anaye weza kuongoza bali anaye weza kuongozwa,ndio maana walimtoa Sita wakaweka hicho kihiyo ili wakikaange kwa mafuta yake mweeenyeeewe.
 
Back
Top Bottom