Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Source: The nation tv
Last edited by a moderator:
Kwa hili ushauri wa Rutashubanyuma unapotosha ukweli, kwasababu suala hili limekwifanyiwa chunguzi nyingi, ikiwemo ule wa Scortland Yard, kiasi kwamba hauitajiki uchunguzi mpya; isipokuwa kuzifanyia mapitio chunguzi zote hizo kwa madhumuni ya kuchambua kati ya mchele na pumba.