Sir M.D.Andrew
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 201
- 37
Kazi ya mabunge yote duniani kote ni kuisimamia serikali ktk shughuli zote za kila siku,inachukuliwa kuwa bunge ni chombo kitukufu kinachowaleta pamoja wananchi ktk kujadili mambo nyeti ya kitaifa pamoja na kupata majibu ya kero za wananchi kutoka kwa mkusanya kodi(serikali)ni kawaida kwa serikali za kihuni kuwaibia wananchi,tegemeo la wananchi inapoonekana serikali inaendeshwa kihuni huwa ni bunge,Swali la msingi hapa ni je,bunge nalo linapoendeshwa kihuni na likajaza wabunge wahuni,wananchi wapate msaada wapi? Inapotokea bunge linaongozwa kibabe kiitikadi,bunge kunuka rushwa je ni makosa kusema kuwa tanzania ni ya wahuni?Unapokuwa na bunge la akina LUSINDE,MAJI MAREFU,MWIGULU NCHEMBA,ADEN RAGE,CHENGE,Na kiongozi wao akawa MAKINDA unategemea nini?jibu ni rahisi-UHUNI.