Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
- Thread starter
- #21
Mkuu Ulokwitanga, asante kwa haya uliyoyasema miaka mitatu nyuma, sasa ndio tunayashuhudia!.Ni miaka mitano ya ombwe katika miimili yote mitatu. Unapokuwa na rais asiyejua kwa nini nchi yake ni maskini na kaingia madarakani kwa kuiba kura, Spika wa bunge aliyepewa nafassi kwa sifa tu ya kuvaa sidiria na sketi na mwanasheria mkuu anayeonekana kwenye kuapisha watu tu huku idara ya mahakama ikizidi kudorora ni ishara ya nchi kutokomea gizani ktk miaka mitano ijayo. Pole sana watanzania.
Paskali