Bugatti mpya- Chiron

yani 4.5 m kwa ajili ya gari tu. Na kuna watu eti wananunua. Yani iyo ni dhambi mbele ya mungu
ni gari za majigambo hizi, wanunuzi ni kina mayweather na warabu wauza mafuta, siumeshaona wanatumia Lamborghini kama patrol cars za polisi!!!
 
ni gari za majigambo hizi, wanunuzi ni kina mayweather na warabu wauza mafuta, siumeshaona wanatumia Lamborghini kama patrol cars za polisi!!!
 
Attachments

  • 3116398500000578-3439602-image-a-123_1455235646921.jpg
    3116398500000578-3439602-image-a-123_1455235646921.jpg
    49.9 KB · Views: 44
Mkuu mwenzetu quality ya gari (ubora) unapimaje, sura au specifications....yani ni vizuri mtujuze nasi tufaidike...
mie nadhani gari ni nzuri iwapo mtumiaji atafaidika katika swala la mfuko wake, nguvu ya gari kulinganisha na barabara zetu, 4 wheel au 2, AC kwa wakazi wa maeneo ya joto, utumiaji wa mafuta na bei za mafuta nchini, durability kulinganisha ni mara ngapi mtu atakua anakwenda gereji kurekebisha gari, power ya breaks per second kusimama gafla bin vuu kujilinda kugonga na kupata ajali, sensors zinazo saidia kuu alert unapotaka ku overtake au parking....
yapo mengi tu....ambayo mnaweza kutushauri kwamba gari flani ni nzuri na ukaeleza kinachokuvutia
Mhhh mi gari mwonekano tu na uzuri ndani,mengine sijui hata kmoja, ntauliza
 
Khaaa me huo muundo tu nimeuzimikia mbaya. Nashangaa watu wanaosema lina sura mbaya. Hii gari nahisi inafaa wanaume wa ukweli tu. Ukiona mwanaume unaikataa jichu nguze sana... Sishangai wadada kusema aah me sijaipenda...
 
Hizi gari nazikubali sana kwenye kuchanganya speed ziko fasta yaani nikiendesha hadi raha. Hili game la ASPHALT NITRO limenifanya niendeshe magari ya gharama ambayo ki uhalisia sijui kama nitawahi kuendesha.
Duh ushafungua hlo gari mkuu....umetumia cheat nn?
 
Khaaa me huo muundo tu nimeuzimikia mbaya. Nashangaa watu wanaosema lina sura mbaya. Hii gari nahisi inafaa wanaume wa ukweli tu. Ukiona mwanaume unaikataa jichu nguze sana... Sishangai wadada kusema aah me sijaipenda...
Mi ni mwamaume na naikataa bugatti mkuu. Bugatti ilikuwa zamani bwana, miaka ya 2005 mpaka 2012, siku hizi ivi unajua bugatti ukiiweka kwnye drag race na kina maclaren p1,porsche 918 spider na koenigsegg hachomoki.. Anapitwa kabisa na tena kama wewe fan wa kufa na kupona wa bugatti unaweza ukalia kabisa na kudondosha chozi. Anachojivunia bugatti ni topspeed tu.
 
Back
Top Bottom