Brotherhood Claims Egypt's Interim President is Jewish...

Status
Not open for further replies.

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
The Muslim Brotherhood's official website claimed that one of the senior most media figures in the Arab world said the interim president of Jewish descent.

The website said Ahmed Mansour, an Egyptian television presenter and interviewer who hosts a live television talk show which airs on Al Jazeera, further claimed on his Morsi, wanted to move closer to Christianity, but the Coptic pope refused to baptize him.

471991410875288408129no.jpg

Brotherhood website. Star of David beneath headline about Mansour

http://www.ynetnews.com/articles/0,7340,L-4401220,00.html
 
There is a time for everything.

Sons, mkae mkao wa kula.
 
Hivi machafuko yakipamba moto Misri na silaha zikitapakaa Waisrael watapona kweli?

...hesabu za waliopanga machafuko zinaegemea kwenye jeshi la Misri kuithibiti hali, lakini kweli wataweza? na kwa muda gani? tusubirini.
 
Aisee hivi hili ndilo anguko la Misri ama?
Mbona kama kila kukicha yanazuka mapya na mazito?
 
Huenda kuna siri nyuma ya pazia ambayo sisi wengine hatuifahamu..
 
i smell WWIII

WWIII! Hivi vijitu duni ndio vya kuleta vita ya dunia?

Hawa wana utaahira wa dini. Wameshindwa kutenganisha imani zao na siasa na wala hakuna vita nje ya mipaka yao. Na sioni cha kushangaza kusikia fulani ana asili ya Uyahudi, kama mtu anaijua historia, Misri na Israel wana historia.
 
Aisee hivi hili ndilo anguko la Misri ama?
Mbona kama kila kukicha yanazuka mapya na mazito?

Haswa! Hili ndilo anguko la Misri!! Wataitisha uchaguzi, na Brotherhood watashinda, rais atakuwa na siasa kali kama za Morsi, atapinduliwa. Itakuwa hivi hivi mpaka Misri tuliyoijua itakuwa siyo.
 
WaMisri wakienda kupigana kama Waarabu dhidi ya Waisrael kama vita iliyopita basi hapana shaka yoyte ile watashindwa tena.

Umar ibn Khatab anaripotiwa kusema maneno kama haya " Sisi (Waarabu na waislamu kwa jumla) tulikuwa dhalili sana, Allah akatupa nguvu kupitia Uislamu kwa hiyo wakati wowote ule tutakapouacha Uislamu na kufuata kingine basi zaidi ya Uislamu basi tutarudi kuwa dhalili".

Ukafiri nao una daraja zake, na walio karibu kwa Waislamu utaona waziwazi katika Quran na Sunnah kuwa ni Watu wa Kitabu (mayahudi na Wakristo).

Katika vita ya Misri/Syria na Israel utaona waziwazi kuwa vita ile mpaka leo hii wanaiita Arab - Isreal War.
Kwa upande wa Misri/Syria haikuwa ya kidini bali utaifa wa Kiarabu ndio uliowekwa mbele wakati wenzao Waisrael walikuwa wakipigania kidini. (angalia video za askari wa Misri/Syria walikamatwa wakiwa na vikopo vya bia, kaseti za nyimbo za Ummu Kulthum wakati askari wa Kiyahudi wakiwa na nembo za star of David!).

Ninachotaka kusema ni kuwa Waarabu walipigana kwa jina la Utaifa (aina ya shirki) wakati mayahudi walipigania kwa jina la dini iliyo kwenye ahlul kitaab. ni ipi kufru yenye afadhali? ushirikina wa kiqawmiya (kaumu) au ahlul kitaab?.

Lakini WaMisri wakiwa wa kweli na kuipigania dini ya Uislamu (kitu ambacho Mayahudi wanapigania sana kuutenganisha Uislamu na mpambano wowote ule) basi wewe mwenyewe unajua ni kitu gani kitawatokea Mayahudi.
 
The military overthrow of a duly elected government and the killing of the people that elected it... aim with Ikhwanul muslimeen "muslim brotherhood"
 
Kinachotafuna nchi za kiarabu sasa hivi hata hao wenyewe hawajakijua lakini jibu ni kulazimisha kuongoza nchi kwa sharia.Katika karne ya sasa vijana wanahitaji mabadiliko kwani kwa sasa wanauwezo wa kuona wenzao duniani wanafanya nini tofauti na zamani wakati tehama ilikuwa haipo.

Kuongoza nchi kwa kutumia sheria za kidini ambazo haziitaji mabadiliko au amendment ni kitu ambacho hakiwezekani kwa hii dunia inayokuwa kasi kwa teknolojia na ni vigumu kukomaa na sheria hizo za kidini ambazo zilikuja karne nyingi za kizamani na ziliwakilisha jamii ya wakati huo.

Hii iwe somo kwa yeyote anayekuwa na mawazo kuwa nchi yake kuongozwa na sheria ya dini.Hiki ni kitu ambacho hakiwezekani kwa sasa.kinachotakiwa ni kuongozwa na sheria ambazo zinaruhusu mabadiliko kutokana na wakati. Mfano tunavyofanya sasa hivi Tanzania kuibadilisha katiba yetu ndio taratibu nyema za kidemokrasia tunazozihitaji
 
Una maanisha nini ukisema kuwa Sheria za kidini hazibadiliki?

Kabla ya kujibu ninakupa cha kuzingatia:
Mwizi katika Uislamu ikithibitika kuwa ameiba hukatwa mkono, lakini wakati huohuo wakati wa utawala wa Umar bin Khatab kuna mwaka mmoja ulikuwa "mwaka wa njaa", dola ya Kiislamu chini ya Umar bin Khatab nayo kwa upande wake haikuweza kukidhi mahitaji ya wananchi katika chakula (kama sikosei ni kutokana na ukame).
Katika mwaka huu Umar bin Khatab anaripotiwa kuzuia ukataji mikono wezi.
..Sharia ya Kiislamu ni ya Kilimwengu.
 
Ninasema hazibadiliki kwa ukweli kuwa hauwezi kufanya mabadiliko yoyote katika vifungu vya quran ambacho kinaaminika kuwa ni conclusive katika kila idara,Hakipitwi na wakati na kinajibu masuala yote yaliopita,yaliopo na yajayo hivyo ni kwa mujibu wa wanaoongozwa na kitabu hicho.

Kwangu mimi naona ni nadharia zaidi ya ukweli.Alichokifanya Umar bin Khatib ni kutanya interpretation na kutafuta secondary meaning ya hicho kifungu.Lakini kuna maconservative wa dini mpaka leo hii wanatamani sheria hizo zitekelezwe kama zilivyoandikwa.

Hii staili alioitumia hata kwenye sheria zetu waamuzi huzituia pale ambapo kifungu cha sheria kinapokuwa kikali sana au kuleta mkanganyiko ,hukwepa kutumia literal rule yaani jinsi maneno yanavyo someka na kutafuta maana nyingine kama matumizi ya golden rule au purposive rule. Hivyo jibu linabaki pale pale kuwa sheria za dini hazibadilishwi kwani twaamini ya kuwa zimeletwa na Mungu hivyo mwanadamu hawezi kutia mkono wake kuzibadilisha
 
Hivi machafuko yakipamba moto Misri na silaha zikitapakaa Waisrael watapona kweli?

...hesabu za waliopanga machafuko zinaegemea kwenye jeshi la Misri kuithibiti hali, lakini kweli wataweza? na kwa muda gani? tusubirini.

Just follow the history of Egyptians wars.

Wars of Egypt (1800s-Present)
[SIZE=+3][/SIZE]Wars of Modern Egypt
 
Hakuna chechote kitakacho tokea. Kwani vita ya kuutetea uislam imeanza leo kwenye nchi za kiislam na maarabu? Ndio maana hata Muslim BROTHERHOOD IMETOLEWA NA JESHI KWA FIKRA ZA KIDINI KAMA ZAKO. If, you were correct, Muslim Brotherhood ingekuwa bado inapendwa. LAKINI YULE Mdini Morsi kachanganya madawa akifikri eti kuna nguvu ya Allah kwenye realities and actualities.
haikuanza leo, ilianzia Badri (vita ya badr)...mbona Mursi alikuwa anakwenda kinyume cha Shariah?! Mursi angewafaa zaidi nyinyi lakini "wadini" wa kweli wakija basi mshindo wake utasikika Tel Aviv!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom