Bringing up your Kid to be Appreciative...

i ask god everyday to be a gud mum, to take my sons, to protect them and to fight for them till the end
am so proud to be a mum and very interesting post
no one like a mother, msitutukane basi jamani hasa wanaume neno kidogo kum......mama yako is not gud
 
What your saying is perfect true and parent should notice this as a example to there family for sure, So that we could have a good people and responsible
 
Mada yako nimeipenda kwa sababu imenielimisha. Ni kweli familia nyingi zenye uwezo mkubwa kifedha haziwatendei haki watoto. Mtoto mpaka anaingia form one hawezi hata kufua nguo zake za ndani, za shule ndio usiseme. Hii ni kwa sababu akiwa nyumbani vyote hivyo vinafanywa na housegirl. Hata kama tuna uwezo tukumbuke kuwa ipo siku watoto hao watapaswa kujitegemea na kuendesha maisha yao.
 
Hilo ni funzo zuri sana kwa sis wazazi ambao tunadhani kumdekeza mtoto ndio kumlea kwa mapenzi,unaweza ukawa unampa mwanao kila kitu kwasababu u mzima siku limetokea la kutokea hakuna mtu anayekubali kukaa na mwanao,na unampa mwanao wakati mgumu sana kujifunza maisha tofauti na uliyomkuza,
 
Dah ! what a touching story!!!!............tangu leo nimekoma ku-ignore thread ndefu...., nimeisoma na kussisimka ile mbaya. I will do the same to my mother
 
Thank u very much 4 a wonderful story ,I can really feel the potential hidden within but what is very important fo us all is to implement practically the message conveyed ! keep it up
 
asante mkuu..

nilisoma hii kwenye email fulani hivi kwa ofisi but sikupata wazo kama lako la ku-share na wengine thru JF in particular.

many thanks again.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom