Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

kufanya payment online kwa debit card ni instant mkuu, uwe una deposit kwa broker,kwenda kwenye e-wallet au unalipia bidhaa kwa merchant nk.

Ninachotaka kujua ni: kuweka pesa kwa hyo e-wallet nawekaje? Naweza tumia local bank au?
 
Ndiyo unatumia local banks lkn uwe umeomba kuruhusiwa kufanya manunuzi online. Ukiwa crdb chukua hadhari wasishikilie pesa yako.
Bank nzuri ni Equity, barclays, abc, i&m bank. Zingine magumashi
 
Njia zipo nyingi lakini ya haraka ni debit card payment kwa kutumia Bank yako husika unaweza ( visa, mastercard, unionpay), unaweza pia deposit kwa bitcoin, wire transfer,
 
abc ukimanisha BancABC?
 
Njia zipo nyingi lakini ya haraka ni debit card payment kwa kutumia Bank yako husika unaweza ( visa, mastercard, unionpay), unaweza pia deposit kwa bitcoin, wire transfer,
Kwa kiswahili bro, mi nipo tanganyika, sa inaniwia ngumu kupata huduma hzo zote.... Huku najua nmb, nbc, crdb na tpb... Cjawahigi ona tawi la exim au standchart
 
Ndiyo unatumia local banks lkn uwe umeomba kuruhusiwa kufanya manunuzi online. Ukiwa crdb chukua hadhari wasishikilie pesa yako.
Bank nzuri ni Equity, barclays, abc, i&m bank. Zingine magumashi
Hawa ABC kuna mtu kasema aliona tawi lao somewhere, ngoja niwafanyie follow up kwanza
 
Kwa kiswahili bro, mi nipo tanganyika, sa inaniwia ngumu kupata huduma hzo zote.... Huku najua nmb, nbc, crdb na tpb... Cjawahigi ona tawi la exim au standchart
Kama ni kweli unatumia bank hizo mkuu hii biashara itakusumbua sana
 
Nina akaunt za kawaida huko. Muda huu ndo nataka kujua banks gan ni nzuri, mana najua tz kuna restrictions sana kwa ishu za e-business. Ila nlisikiaga BancABC wako vizur kwa huduma za mtandaoni, so unapowataja nawe, nataka kuwatafta mana kuna mtu alisema aliona tawi lao.

Ninataka akaunt ya hii kitu iwe pekeake kbs, icwe na connection na akaunt nyngne.

Cjaanza bado biz hii, na cna real akaunt ambayo nimedeposit pesa, bado najifunza na demo tu mkuu.
 
Iko vizuri
 
Technical analysis na trade. Cjajua celew wapi. Mana kila nkitrade market inamove against na napata loss
Mkuu kufundisha online sio afya sana, endapo ungekuwa karibu ningekupiga msasa wa kutosha bila shaka
 
Ndiyo unatumia local banks lkn uwe umeomba kuruhusiwa kufanya manunuzi online. Ukiwa crdb chukua hadhari wasishikilie pesa yako.
Bank nzuri ni Equity, barclays, abc, i&m bank. Zingine magumashi

Sorry exim jee nao wapo vizury au magumashi tuu
 
Nina akaunt za kawaida huko. Muda huu ndo nataka kujua banks gan ni nzuri, mana najua tz kuna restrictions sana kwa ishu za e-business. Ila nlisikiaga BancABC wako vizur kwa huduma za mtandaoni, so unapowataja nawe, nataka kuwatafta mana kuna mtu alisema aliona tawi lao.

Ninataka akaunt ya hii kitu iwe pekeake kbs, icwe na connection na akaunt nyngne.

Cjaanza bado biz hii, na cna real akaunt ambayo nimedeposit pesa, bado najifunza na demo tu mkuu.
Habari Najua Bank ABC wapo posta pale Uhuru heights
ila hii link ya kuonyesha branches.

BancABC
 
Taarifa kuhusu sintofahamu iliyotokea Jumatano, Sept 13 2017

Ningependa kuweka jambo hili sawa juu ya kile kilichotokea ofisini kwetu TMT.

Kwanza nitoe pongezi nyingi kwa serikali na vyombo vyake vyote vilivyofika ofisini kwetu kwa kusudi la kujiridhisha na operations zetu kwa kuweza kusimamia haki na sheria.

Mnamo tarehe 13.09.2017 tulipata ugeni wa kushtukiza ofisini kwetu Oysterbay, Jangid plaza, ambapo maafisa wa idara mbali mbali walifika ili kujua shughuli tunazozifanya na uhalali wake.

Tulitembelewa na watu kutoka Makao makuu ya usalama wa taifa (TISS), polisi na wapelelezi kutoka Kituo cha polisi cha Oysterbay, afisa kutoka idara ya kazi na ajira, maafisa kutoka TRA - Mwenge, maafisa kutoka uhamiaji, maafisa kutoka wilayani, watumishi wa serikali za mtaa.

Maafisa wa usalama wa taifa walipata taarifa za uzushi ya kwamba kampuni yetu ya TMT inafanya shughuli za kitapeli, na kwamba tunaoperate bila kufata sheria na utaratibu wa nchi, sasa maafisa wa usalama walifika ili kujiridhisha na taarifa hizo walizozipata awali hivyo iliwalazimu kushirikiana na idara zingine zote ili kupata taarifa sahihi.

Haya ndio yalikua maafikiano ya mwisho, baada ya upelelezi kuisha

1. Operations zetu hazina chembe yoyote ya kitapeli, hivyo tulipata go ahead ya kufanya tunachokifanya kwa manufaa ya Watanzania.

2. TMT inaoperate kwa kufuata sheria na utaratibu wa uendeshaji wa kampuni za kitanzania

3. TMT ilipatikana kuwa 100% clean kwa mujibu wa TRA, kwamba japo ni kampuni mpya na changa ulipaji kodi wetu ni wa kiwango kizuri.

4. Polisi hawakuona tatizo lolote la kipolisi kuhusu operations zetu.

5. Maafisa wa manispaa ya kinondoni pamoja na serikali za mitaa hawakuona ukiukwaji wowote wa sheria ktk uendeshaji wa kampuni ya TMT

6. Maafisa wa immigration hawakutucharge na offence yoyote kuhusu njia iliyotumika kwa mentors kuingia nchini na muda wao kuwepo nchini.

Kiuhalisia Forex is a legal business and TMT is a legal Tanzanian company.

Aidha kuna vitu kadhaa ambavyo tulishauriwa kutimiza kabla hatujaendelea na operations zetu ikiwemo
●kutafuta business permits kwa ajili ya mentors wetu. kwasasa permits hizo zimeshapatikana

●pia tulishauriwa kuwa temporary invoice wakati tukiprocess EFD machine. Tayaru tunazo invoice na jumatatu tutakua tayari tumepokea EFD machine.

From now onwards the office is up and running. We are open from Monday - Friday saa 2 asubuhu hadi saa 1 usiku. Ofisi ipo Oysterbay Jangid plaza, plot no. G6, Chaburuma road, Ali Hassan Mwinyi road.

Zaidi ya yote napenda kuwashukuru wote waliokua nasi kipindi hiki chote, let's keep working together and results will speak for us. Thanks!

Good day ahead!!
 
Back
Top Bottom