Namkumbuka sana huyu Adam Mwakanjuki, wakati akiwa waziri wa Serikali ya Mapinduzi huko visiwani, alitembelea kwetu kirafiki, wazazi walipokuwa nje kikazi, tulimwandalia chakula cha mchana tukifikiria ni mwenzetu kiimani kwa vile jina la Adam Mwakanjuki si la ustaadhi Maalim. Alipokaribishwa alikula aina ya vyakula vyote vilivyowekwa mbele yake ila hakugusa nyama. Naona alifikiri ni kiti moto kwa vile siku iliyotangulia tulimtembeza kwa majirani wanaofuga kiti moto na kwetu kwenye zizi la ndama wa Maziwa.
Kwa vyo vyote tunamkumbuka alikuwa mstaarabu na asiye na ubaguzi na kujenga uvumilivu wa hali ya juu kwa ajili ya umoja wa kitaifa.
RIP Adam Mkwakanjuki.
Nawashukuruni wote kwa salamu za rambirambi, aidha kupitia hapa tutaendelea kuwa pamoja kwa taarifa zaidi juu ya msiba huu wa baba yangu mzazi.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.

well, hutakiwi kuwa mitandaoni kama baba yako mzazi amefariki, nenda uka focus msibani!Nawashukuruni wote kwa salamu za rambirambi, aidha kupitia hapa tutaendelea kuwa pamoja kwa taarifa zaidi juu ya msiba huu wa baba yangu mzazi.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
well, hutakiwi kuwa mitandaoni kama baba yako mzazi amefariki, nenda uka focus msibani!
kutujulisha kwenye mitandao ili iweje? wenye uchungu wa kwanza na msiba wa baba yake akili zao ziko msibani, anatakiwa awe nao kimwili na kiroho, badala ya kushinda anaranda randa mitandaoni.Kwa maana nyingine unamwambia aache kutumia simu vile yuko msibani, huoni uwepo wake hapa ni muhimu sana kutujulisha yanayojiri msibani.................
Nawashukuruni wote kwa salamu za rambirambi, aidha kupitia hapa tutaendelea kuwa pamoja kwa taarifa zaidi juu ya msiba huu wa baba yangu mzazi.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Majenerali wa Ukweli wanaishia hivyo......tunabaki na MASHIMBOSHIMBO
RIP Mjomba
Alikuwa mkristu Muangilikan...............
Na asili yake ni Tukuyu Mwakaleli siyo Kyela, anaundugu na Prof Mwandosya kiaina.[/QUO
Thanks kwa masahihisho hayo. Kyela ameoa na kwa waliopo Mbeya ujomba wake upo pale Iyunga, ni Mzee Mwasambungu karibu na Kanisa la KKKT
RIP Brigadier General Mwakanjuki.
Lakini habari kwenye IPPMEDIA ya leo na sehemu zingine zinadai alikuwa mmoja wa Wakristo kama watatu hivi kwenye SMZ.
Nawashukuruni wote kwa salamu za rambirambi, aidha kupitia hapa tutaendelea kuwa pamoja kwa taarifa zaidi juu ya msiba huu wa baba yangu mzazi.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.