Brazilian Puppy Entertains Kids With a Jump Rope (Pic + Video)

Dotworld

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
4,035
3,773

PIC:


25723492.jpg





VIDEO




cc:
Bujibuji Safari_ni_Safari Preta saudari Watu8 Ndibalema Paloma Chimunguru MadameX Kongosho MziziMkavu sakapal donlucchese farkhina Ndahani Erickb52 Baba V Wilbert1974 Kaunga Blaine Elli Arushaone Makanyaga omujubi mwaJ stineriga Boflo Heaven on Earth Amavubi Mimi49 afrodenzi Sikonge Elizabeth Dominic Mentor King'asti Abdulhalim Bigirita @C6 marejesho englibertm Money Stunna Ab-Titchaz Doppelganger meandU MussoLIN mshana jr Bulldog rpg platozoom
 
Last edited by a moderator:
Hicho Kijibwa nina uhakika kikiletwa kigombee badala ya Lowassa, bado kitashinda, hehehehee....


Mbwa wana akili sana na wako karibu na binadamu. Inasemekana hata baharini, hawa SERENA huwatumia Dophin kama Mbwa wao na ndiyo maana Dolphin bado huwa wanakuwa waaminifu na marafiki wa Binadamu kwa sababu ya kufanana kwa Binadamu na hao Dolphin.
Kuna maeneo wanawatumia Dolphin kuwavuta samaki na wakishakuja wanavua kwa kokoro ila mwisho huwa wanachukua samaki na kuwatupia hao Dolphin......

DolphinDogPaulRiley-vi.jpg
 
Kuna mwanafalsafa mmoja amewahi kusema kuwa mbwa ana akili kuliko hata wanasiasa...
 
Kuna mwanafalsafa mmoja amewahi kusema kuwa mbwa ana akili kuliko hata wanasiasa...
Nafikiri uhalisia ni kwamba Mbwa wana akili kuliko binadamu wasiokuwa na time na siasa. Kwasababu binadamu anaefikiri siasa sio issue kwake ndio anaesababisha Wanasiasa wabovu wanachaguliwa kila siku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom