Brazil yakamilisha SGR yake kwa Miaka 30, nchi masikini ya Tanzania inajitutumua kukamilish Kwa miaka 15

Hii miradi ni mizuri. Ila kutokana na kufanywa na serikali moja kwa moja kupitia fedha zitokanazo na mapato ya ndani, pamoja na mikopp; kumefanya hali ya maisha kwa wananchi wengi kuwa ngumu mpaka basi. I wish mradi kama huu wa SGR ungejengwa na sekta binafsi, na hiyo sekta binafsi ingeusimamia wenyewe! Badala ya serikali.

Yaani kiukweli maisha mtaani ni magumu. Pesa haipatikani kwa urahisi! Na hata ukiipata,unakuta haina kabisa thamani. Kwa kweli serikali ikifanikiwa kumaliza huu uowagu wake, iwaache sasa wananchi wapumzike. Tozo zinawaumiza watu.
 
Madhara ya kufanya miradi Kwa kukurupuka ni Madeni na umaskini Hadi backsides ambao umeanzia kichwani.Hesabu za kiuchumi hazihitaji rushing na sifa za kijinga.
Umesikia ..mpumbavu mashungi kauza sijui kagawa bure bandari yetu ...tulikuwa tunawacheka wakenya kuwa agenda ya mchina wa sgr yao ni kuchukuq bandari yao kutokana na deni ....sasa yametukuta sisi kutokana na kuongozwa na wapuuzi
 
Gap la maendeleo baina ya Brazil na Tanzania ni kubwa.

Huwezi fananisha miradi ya Brazil na Tanzania kwa vipimo vyovyote vile.

Sisi hii ndio sgr yetu ya viwango ya kwanza Brazil sio ya kwanza.
 
Kijiografia pia Brazil wana eneo kubwa zaidi yetu.
Ndio tunawashangaa Sasa ikiwa huyo Mkubwa anajenga mdogo mdogo wewe maskini unaharaka ya kwenda wapi? Utaua Watoto njaa
 
Kitu alicho kifanya jpm alikisema .. alipo sema ajui kama yeye hata fanya kama kuna wengine watafanya ndiyo maana alijitoa kufa na kupona kufanya mambo mengi na makubwa kwa oamoja na haraka .....kama siyo yeye kuanza bwawa la nyelele basi wakina rostam wasinge kubali bwawa kujengwa kwa sababu wangeshindwa kutunyonya kwenye bei ya biashara yao ya gesi maana bei ya umeme ikishuka tu basi usisadi wa gesi utakuwa umekwisha ...kumbuka samia alisemq alipopata urais alikumbana na vita ya watu kukwamisha bwawa la nyerere sasa mimi nakuuliza ni kina nani wa kwa sababu gani walikuwa wanakwamisha bwawa ..hapo utamwona muhusika mkuu hakiwa rostam azizi ....pia kuhusu haraka ya jpm kujenga reli kumbuka hujuma ya kenya na wachina kuhusu kile kitu walikuwa wanakiita COW....kama tungechelewa kidogo tu kujenga reli yetu basi tungepigwa bao baya sana bandari zetu zote zingegeuka uchafu tu ...hasa sasa unaona sijui DP World wanapigania hii bandari sababu kuwa ni reli tunayo jenga ya mabilioni itskayo unganisha nchi nyingi hivyo dp World wanataka kuvunq mabilioni ya pesa kwa uwekezaji ambao wao awakuchangia hata sh moja
 
Tujiulize uzalishaji wa nafaka / mahindi Sumbawanga, Iringa, Ruvuma umeshindwa, TAZARA ingetumika kusafirisha mamilioni ya tani za mahindi hadi Bandari ya Dar es Salaam kuyasafirisha kwenda ngambo.
1689155140243.png

Pia hii reli mpya SGR reli serikali ina mpango gani kuwa na maeneo ya uzalishaji nafaka n.k katika corridor/ushoroba wa ndani ya Tanzania ili reli hii mpya itegemee walau asilimia 35% mazao yanayozalishwa ndani ya nchi huku asilimia nyingine 35 % ya mazao ya viwanda vya ndani na kiasi kilichobaki cha uwezo 30% kiwe kutegemea nchi jirani?

MRADI WA SGR RELI BRASIL
Kipande cha North-South Railway kati ya São Simão/GO na Estrela D'Oeste/SP na bandari ya Santos Brasil kikibeba mzigo wa chakula kutoka maeneo ya uzalishaji mkubwa / kapu la chakula (bread basket) kupeleka bandarini

More info :

24 April 2023
Recent geopolitical events, coupled with changing climate patterns, have further increased demand for Brazilian Corn, particularly considering poor harvests from traditional Corn powerhouses such as the United States, Argentina, and due to the ongoing war-Ukraine. Additionally, Brazil's Corn industry has been buoyed by the opening of the Chinese market, following the signing of a key agreement between Brasilia and Beijing earlier in 2022.

The US Department of Agriculture reports that Brazil is poised to become a leading contender in the global Corn market, potentially surpassing the US in exports this year. Currently projected to export 52 million tons of Corn, Brazil's production capacity is still on the rise with ample available land for crop cultivation and opportunities for increased productivity, key to sustaining this growth will be investment in agricultural machinery to streamline the sowing and harvesting process, coupled with improved infrastructure to facilitate the efficient disposal of production.
 
View attachment 2685700

Unajua Kwa nini Tazara haitumiki?
 
Jisomee nilicho post. Sipo kwenye mood ya kubishana kijinga.
FAIZA huyo jamaa ni mjinga mimi nilichoona hapo shida yake ni kuiponda na kuikejeli TANZANIA MAMA ...shenzi huyo atoke ahamie huko brazili atuachie nchi yetu na viongozi wetu ....shit..
 
Back
Top Bottom