Boys hata kama ni tabia yenu

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,532
1,822
Cmwelew m2 huyu jamani.nafahamiana nae kwa miaka ming tu kikawaida kbs,nilimtambulisha mwenza wng,anafaham namtt.cha ajabu km wiki mbili mfululizo hv sahz anapga simu usiku tu akiomba tumit,mara ya kwnz niliona kawaida labda kapitiwa,lakini cha ajbu anaendelea.nachojiuliza kwanini awe ananitafta ucku tu,!kama hana nia na mawazo ya kshetani anajua napokaa kwanini asinifate nyumban?haikuwa kawaida yake kwanini aanze leo hii?hebu nisaidien jaman m sielewi elewi yan.
 
Maamuzi yote unayo wewe mwambie ukweli,ukiumauma maneno utakuta unampa kwa kumuonea huruma,mkondo wa maji huzibwa mtoni usingojee mpaka yaingie shambani.
 
mmmh...ingekuwa ni man ningeweza kukupa ushauri....lakini kwa sababu ni boy....no comments
 
cmwelew m2 huyu jamani.nafahamiana nae kwa miaka ming tu kikawaida kbs,nilimtambulisha mwenza wng,anafaham namtt.cha ajabu km wiki mbili mfululizo hv sahz anapga simu usiku tu akiomba tumit,mara ya kwnz niliona kawaida labda kapitiwa,lakini cha ajbu anaendelea.nachojiuliza kwanini awe ananitafta ucku tu,!kama hana nia na mawazo ya kshetani anajua napokaa kwanini asinifate nyumban?haikuwa kawaida yake kwanini aanze leo hii?hebu nisaidien jaman m sielewi elewi yan.
we shoga apo usichoelewa ww kitugan jaman!! Mbona mnapenda kutuumiza vichwa!!!!ok anakutaka unampa humpi.topic closd
 
Cmwelew m2 huyu jamani.nafahamiana nae kwa miaka ming tu kikawaida kbs,nilimtambulisha mwenza wng,anafaham namtt.cha ajabu km wiki mbili mfululizo hv sahz anapga simu usiku tu akiomba tumit,mara ya kwnz niliona kawaida labda kapitiwa,lakini cha ajbu anaendelea.nachojiuliza kwanini awe ananitafta ucku tu,!kama hana nia na mawazo ya kshetani anajua napokaa kwanini asinifate nyumban?haikuwa kawaida yake kwanini aanze leo hii?hebu nisaidien jaman m sielewi elewi yan.

Sijaelewa kabisa!!! Jaribu kuiandika vizuri kwa kiswahili fasaha au kiingereza nielewe...
 
Acha wenge we mpe kitu yake ukimnyima anaenda kupooze kwa mwingine chagua moja kumpa au apewe na mwingine.
 
Anakutafuta usiku na anataka mkutane sehemu nyingine sio kwako...hujajua anataka nini?
 
Cmwelew m2 huyu jamani.nafahamiana nae kwa miaka ming tu kikawaida kbs,nilimtambulisha mwenza wng,anafaham namtt.cha ajabu km wiki mbili mfululizo hv sahz anapga simu usiku tu akiomba tumit,mara ya kwnz niliona kawaida labda kapitiwa,lakini cha ajbu anaendelea.nachojiuliza kwanini awe ananitafta ucku tu,!kama hana nia na mawazo ya kshetani anajua napokaa kwanini asinifate nyumban?haikuwa kawaida yake kwanini aanze leo hii?hebu nisaidien jaman m sielewi elewi yan.

Taarifa za kiintelijensia zinaonesha unapenda simu zake za usiku. Mpe tu uongeze ufundi. Halafu kutuharibia kiswahili ndo nini hivi? Huwezi kumaliza maneno, unakimbilia wapi?
 
kwa nini usimuulize kistaarabu?maybe atakuelewa na umueleweshe kama hiyo tabia huipendi
 
Cmwelew m2 huyu jamani.nafahamiana nae kwa miaka ming tu kikawaida kbs,nilimtambulisha mwenza wng,anafaham namtt.cha ajabu km wiki mbili mfululizo hv sahz anapga simu usiku tu akiomba tumit,mara ya kwnz niliona kawaida labda kapitiwa,lakini cha ajbu anaendelea.nachojiuliza kwanini awe ananitafta ucku tu,!kama hana nia na mawazo ya kshetani anajua napokaa kwanini asinifate nyumban?haikuwa kawaida yake kwanini aanze leo hii?hebu nisaidien jaman m sielewi elewi yan.
ina uhusiano na title?
naomba umuelezee huyo mtu yeye kama yeye lakini sio kama maboys/wanaume!
sawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?
 
Kwani kutafutwa usiku ni tatizo? Mayb mchana anakuwa bize na job hivyo usiku ndo anakuwa free thats why anakutafuta mida hiyo! Alafu usiku kunakuwaga na call za bei nafuu ka sio bure kabisa, sasa si ndo anazitumia effectively?? Mi naona hapo cha kuangalia ni yale maneno anayokwambia/mnayoongea kwenye simu, mi naamini lazima tu utakuwa unajua anachokitaka! We fanya uamuzi tu!
 
atakua ana taarifa za kiintelejinsia, vaa kininja umfuate ila ubebe na bastola just incase!
 
Back
Top Bottom