Boycott airtel for 9 hours on wednesday

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,466
9,028
Nimesoma hii habari kutoka Zambia na ndio ninaanza kuhisi kuwa hakuna mtu anayeweza kutuletea mabadiliko endapo sisi wenyewe hatuko tayari.

Ifuatilie alafu uone ni kwa kiasi gani inaweza kufanikiwa endapo call kama hii itakuwa raised kwa Watz!

Every Wednesday from 08hrs to 17hrs, let us not send an sms, or make any phone calls from any airtel number for nine hours to send a signal to Airtel that they need to improve their services and reduce their charges. Invite your friend to this event.
1. Customer care must be professional and be there to solve clients problems not to defent Airtel's incompetences
2. Airtel must revert to K2 for the magic number
3. Airtel must be faithful to the loyalty program promises and give out cards
4. Airtel must deliver 3G internet and allow users to utilise proper internet speeds
5. Airtel must reduce the cost of bundles as their current charge is too high

These among other issues that you as a customer may be facing. Remember we customers are the one keeping Airtel in business. If the do not do as we say, we can put them out of business.


Source: Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More
 
Hizo sababu hazitii motisha sana.

Kama ingekua wazawa wanafukuzwa kazi za juu (Technical or managerial) na nafasizao kuchukuliwa na maponjoro (wahindi) basi namimi ninge
kuwa mstari wambele.
 
hapo kwenye red pametuathiri sana na inatubidi kuchelewa kubadilisha uongozi kwa sababu ya miongoni mwetu kuamini kuwa 'wameukata' kwa kuwa na nyumba na gari na vitu vingine vidogo lakini wanasahau kuwa masuala kama barabara, umeme, elimu, maji nk ni kazi ambazo haziwezi kufanywa na mtu mmojammoja bali serikali!
Watanzania hatuko serious na tuna ubinafsi sana.
 
Back
Top Bottom