CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
Poa mkuu!IMO, the winner is Mayweather by points.
Poa mkuu!IMO, the winner is Mayweather by points.
Anaongea na yule mtangazaji wa espn aliyempiga mwezi sept
Mama wa kifilipino mziki wa mayweather hauwezi!mayweather anaamua akupige vipi!tumemtumia cotto kama chambo ajichuze ajue mayweather maji ya ugoko ili akubali kupanda ulingoni hapo ndo atagundua mayweather maji ya utosini!wapenda masumbwi walishazoea kuona ngumi ndoano za kushoto lakini katika pambano hili na cotto!bondia asiyepigika aliweza kutumia ngumi ndoano kulia ambayo ndo silaha hata zab judah aliwahi kuitumia miaka ya nyuma!siku pacquiao akipanda ulingoni na mayweather basi nawashauri mashabiki wake muwe tayari kuzoa kinyesi chake ulingoni kwa ngumi mstukizo na ngumi ndoano za chuma cha reli alwataan mayweather mdogo!atawapiga ushuzi wenzake haohao.
Lakini siku akithubutu na kudiriki kupambana na Muheshimiwa toka Philipino ndio itakuwa 40 yake.
kwanza hatoruhusiwa kufika mpaka raundi ya 5 na Kamanda Many Pacquiao.
atawapiga ushuzi wenzake haohao.
Lakini siku akithubutu na kudiriki kupambana na Muheshimiwa toka Philipino ndio itakuwa 40 yake.
kwanza hatoruhusiwa kufika mpaka raundi ya 5 na Kamanda Many Pacquiao.