Bottom itchy treatment/ solution (matibabu ya kuwashwa sehemu ya katikati ya makalio)

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Studies nyingi zinasema watu wengi upatwa na bottom itchy kutokana na sababu mbali mbali mfano aina ya chakula wanachokula, kutokunywa maji ya kutosha, bacteria, minyoo na kadhalika. Kama hakuna dalili za kutoka damu ila the bottom is itching na umekwisha kupima minyoo au kunywa dawa za minyoo lakini bado unapatwa na discomfort basi fanya lifuatalo:

1. nunua dettol ya maji
2. nunua pamba/ cotton gauze
3. nunua sabuni ya dettol
4. kila unapomaliza kuoga na sabuni ya dettol
5. jifute mwili mzima na taulo safi
6. jifute kabisa kwenye bottom na toilet tissue
7. nyofoa pamba kiasi kidogo halafu chofya kwenye dettol ya maji
8. futa taratibu (wipe your bottom gently)
9. itauma kidogo ila vumilia/ you will feel hot/ burning sensation around your bottom but you have to tolerate
10. repeat 4 - 8 until the bottom itchy disappears
11. you can also do it once in a while whenever you feel like bottom itchy

If you have bottom itchy or your friend has it, please do it and give your testimonial!!
 
Hakikisha unapoenda haja kubwa unamaliza kabisa, yaani system ifunge yenyewe bila wewe kulazimisha. Pia usisukume, iachie gravity na system kazi hiyo.

Ukiangalia viti vingi vinatoa nafasi ya mzunguko wa hewa - sponge au matundu ili sehemu husika iwe dry kwani sweating ipo mpaka huko.
 
Mzee baba, fangasi sehem za siri wananitesa ndugu yangu.

Nmetumia tube tofaut tofaut sion mabadiliko.
 
Back
Top Bottom