Botswana: Kila $100 inayopatikana katika uuzaji wa almasi serekali ina $70, mwekezaji $30...

Medical Dictionary

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,060
309
Profesa lipumba katika kipindi chanel 10 amesema katika kila $100 inayopatikana kwenye uuzaji wa almasi botswana serekali ina $70 mwekezaji $30..
swali:tanzania kuna uwiano gani katika mauzo ya madini..?
 
Tanzania katika kila Dola 100 za Madini, Serikali inapata Dola 3 na Mwekezaji anapata Dola 97. Naskia kwenye bajeti ijayo ndio Serkali imejitutumua (na inajivuna) kuwa itakuwa inapata Dola 4 katika 100!
 
Sio kweli Jamani wawekezaji sasa hivi kwenye baadhi ya Machimbo ni 55 kwa wawekezaji 45 kwa Serikali

Hiyo takwimu anayoitoa ni other way round.
 
nilikuwa nafahamu serikali ya botswana wanachokua 67% na mwekezaji 33% kwa kila mauzo.
 
Tanzania katika kila Dola 100 za Madini, Serikali inapata Dola 3 na Mwekezaji anapata Dola 97. Naskia kwenye bajeti ijayo ndio Serkali imejitutumua (na inajivuna) kuwa itakuwa inapata Dola 4 katika 100!

Nimetapika chips na filigisi nlizokula bora usingeniambia
 
Back
Top Bottom