Boss wa WYDAD ashutumiwa kujihusisha na biashara ya madawa na utakatishaji fedha

DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
13,979
11,816
Wydad’s boss Said Naciri is reportedly involved in international drug trade and money laundering.

He’s currently picked up by the police being questioned.

More updates to come.

#AfricanFootball
#DimaWydad
mickyjnrofficial-20231222-0002.jpg
 
Kiuhalisia
maboss wengi Huingia kwny udhamini wa timu kubwa lengo ni kutakatisha fedha haramu maana anayo backup ya mashabiki wengi ambao ndo wapiga kura wa serikali iliyoko madarakani
 
Kipindi kile Wydad inacheza mechi za AFL nilikuta kuna kitu kinaongelewa na mashabiki wa Wydad kwenye Page yao ya Insta kwamba Boss wa Wydad hatoi mishahara na pesa za kuendesha klabu kwa wakati,

nikajua labda ni maneno ya mtandaoni tu, kumbe walikuwa wanasema kweli.... na saivi ndo mambo hayo yameanza. Wydad mpak iludi kweny mstari labda mwakani.
 
Soka la kiafrika bhana,
Boss wa timu akihitilafiana kdg na serikali ,timu nzima inapoteana.

So sad,
wydad sahv imekua Kama ihefu

Nmeikumbuka ile Yanga,
manji alivotofautiana na mwendazake
Hata tajiri Roman alivyochukiwa na mamlaka Chelsea ilikiona cha mtema kuni. Na huko si Afrika
 
Back
Top Bottom