BOSS NA MFANYAKAZI

mbwana semsimbazi

Senior Member
Sep 5, 2013
196
202
_*Mfanyakazi: ```Boss leo siwezi kuja kazini kuna mvua kubwa imenyesha!, maji yamejaa kuzunguka nyumba yangu.```*_


_*Boss: ```Kwenye maombi yako ya kazi uliandika Hobbi yako ni KUOGELEA...!! Tukutane kazini...!!!```*_

 
Back
Top Bottom