Bora nipate ukimwi kuliko kuniambia una mimba yangu

naima huyo atakuwa ameamua tu kuwa wewe ni wa kujipoozea tu hana mpango wowote wa kudumu. Utaumia ila ndo kakupa sababu ya kummwaga. Lea mimba yako achana naye ye alivyokuwa anapanda alitegemea hazitaota?
 
huyo mwanaume ana wazimu kweli kweli hivi ukipanda DECI SI UTAVUNA DECI
naima79 huyo mwanume hakupendi na hana penzi kwako itabidi uangalie ustaarabu wako
Kama anajua hivyo kwanini anafanya unsafe sex ?
ameniboa ...nenda kamwambie
 
sasa kwanini mnafanyaga matuc bila kinga jamani na mnajua hampo tayari kwa matunda?.....huyu mkaka atakuwa ana wake wa moyoni wewe ulikuwa wa mdomoni tu.
 
Una bf wa mda mrefu almost 4 yrs, unamwambia darling sijaona siku zangu nahisi hii itakuwa mimba anakujibu MTUMEEEEEE BORA NIPATE UKIMWI KULIKO KUNIAMBIA HAYO MIMI!
fidel uko wapi najua utakuwa wa kwanza jamani karibuni

Huyu alikuwa anakamega ka under 18 kadent anaogopa kunyea ndoo! Ila anakapenda
 
Firstlady hii nimeitoa kwa rafik yangu hayajanikuta mimi! kwanza hapa inavoniumiza ningekuwa mm ningemlisha sumu dog huyu ebo! huyo atakuwa binaadam au mnyama pori

sasa utampatia wapi tena umgee hata hiyo sumu, hapo utakuwa unapewa chenga tu....huyo afikirie mbele tu.
 
Kibweka hawa ni watu wazima wote, gumegume linaloogopa mimba lina 36 na dada ana 28, hakuna cha kunyea ndoo hapa
Hizo ndizo supprise wanaume wengi huchukia. Jifunzeni kutumia kinga na kukubaliana kabla ya kupanda hizo mbegu maana kuota ni natural .
 
Kwa kweli kuna tatizo Tanzania, mabinti wengi wanapoamua kazaa bila kuplan hii ndo inawapelekea kukataliwa. Madamu kama angekuwa amemshirikisha na mwenzake juu ya azima yake ya kushika ujauzito ingefahamu kabisa msimamo wa jamaa yake. Lakini mabinti wengi huchukulia mimba kama kigezo cha kuolewa! hapo wanakosea. Binadamu ni tofauti na wanyama, wanyama wanajamiiana wakati wa kuzaa tu ila binadamu ni kuzaa na starehe. kwa maana hiyo huyo bwana alikuwa anataka starehe na si kuzaa. Kwa technologia zilizopo na uelewa uliopo kushika mimba ni kuzamilia na si bahati mbaya
 
Hakuna mtu hapo.Mshauri rafiki yake aachane na huyo mwanaume haraka sana kabla hayajamkuta makubwa zaidi,asijifanye kipofu wa mapenzi wakati dalili mbaya keshaziona,hapo wa kupewa ukimwi ni yeye na wala sio huyo mwanaume anayejifanya anaogopa ukimwi.
 
Kibweka hawa ni watu wazima wote, gumegume linaloogopa mimba lina 36 na dada ana 28, hakuna cha kunyea ndoo hapa

Hehehehee makubwa basi anaogopa kulea, Je kipato chao vp kikubwa , cha kawaida, kidogo? na familia yao ina ukubwa gani?
 
Kibweka hawa ni watu wazima wote, gumegume linaloogopa mimba lina 36 na dada ana 28, hakuna cha kunyea ndoo hapa

Makubwa haya,huyo mkaka na umri wote huo anaogopa mimba,ipo kazi?na kwa nini wakae 4 yrs bila mpango wowote? wanaishi pamoja au kila mtu yuko kivyake? inawezekana huyo kaka ana mtu mwingine ambae yuko nae thus why anashindwa kutengeneza maamuzi.Haingii akilini mtu mzima kama huyo kuogopa mimba,halafu eti anasema bora kupata ukimwi kulioko mimba
 
Hizo ndizo supprise wanaume wengi huchukia. Jifunzeni kutumia kinga na kukubaliana kabla ya kupanda hizo mbegu maana kuota ni natural .

tuongee kiukweli hapa hivi ni nani mwenye uamuzi wa kutumia kinga hapa? Mwanamke au mwanaume? Kutokana na experience zetu. Mimi nitaanza mwenzangu nilikuwaga namwambia tujikinge siku za kwanza akawa anatii but alivyonizoea tu na kujua kuwa nimefika kigoma akawa anagoma siku nyingine na hata umwambie nini hataki na maswali ya kwani huniamuni au unaogopa nini yakatawala maana unaogopa kusema humwamini na wala huwezimwambia kuhusu wewe kwa sababu unataka akuamini na ukimwambia masuala ya mimba ndo kwanza anakwambia si tutalea! So kusema ukweli sometimes ya mara nyingine huwa si rahisi kama tunavyolizungumzia hapa. Mwanamke anahitaji reaaly kuwa anajiamini sana ndo aweze kusimamia hili
 
Firstlady hii nimeitoa kwa rafik yangu hayajanikuta mimi! kwanza hapa inavoniumiza ningekuwa mm ningemlisha sumu dog huyu ebo! huyo atakuwa binaadam au mnyama pori

mwambie rafiki yako hivi kama kweli kabeba mimba
Mimba sio ugonjwa na wala sio mwisho wa maisha ..kuna watu wanalilia watoto hata kwa dawa ili wawapate lakini hawapati ng'o
atulie tuli azae atunze mwanae na aacahane na huyo guberi wa kiume
you neva know bwana mungu kampangia nn katika maisha yake
 
tuongee kiukweli hapa hivi ni nani mwenye uamuzi wa kutumia kinga hapa? Mwanamke au mwanaume? Kutokana na experience zetu. Mimi nitaanza mwenzangu nilikuwaga namwambia tujikinge siku za kwanza akawa anatii but alivyonizoea tu na kujua kuwa nimefika kigoma akawa anagoma siku nyingine na hata umwambie nini hataki na maswali ya kwani huniamuni au unaogopa nini yakatawala maana unaogopa kusema humwamini na wala huwezimwambia kuhusu wewe kwa sababu unataka akuamini na ukimwambia masuala ya mimba ndo kwanza anakwambia si tutalea! So kusema ukweli sometimes ya mara nyingine huwa si rahisi kama tunavyolizungumzia hapa. Mwanamke anahitaji reaaly kuwa anajiamini sana ndo aweze kusimamia hili

Ntamwaga nje
 
Huyo jamaa ni fisadi wa ngono tu kwa rafiki yako, mwambie amuepuke kama ukoma maana ataweza kumsababishia shida nyingine mwishowe uzae kitoto taahira sababu ya msongo wa mawazo. Kaa nae mbali ulee mimba uzae na mje kuendelea na maisha na mtoto wako tena mzuri kuliko. Siku moja atakuja kumtafuta na hapo ndo utatoa your girl power dhidi yake. Kama jana umesikiliza bunge Anna Kilango amesema sana kuhusu adhabu zinazotakiwa kwa wanaume wa aina hio na huenda ikamhusu siku si nyingi. Pole na siku nyingine usikubali bila Kinga.
 
Una bf wa mda mrefu almost 4 yrs, unamwambia darling sijaona siku zangu nahisi hii itakuwa mimba anakujibu MTUMEEEEEE BORA NIPATE UKIMWI KULIKO KUNIAMBIA HAYO MIMI!
fidel uko wapi najua utakuwa wa kwanza jamani karibuni

Mmmmmmmmmmmmh, Hata kama niwewe huwezi kkbariana na hlo coz ili mimba itungwe inahtaji kujamiiana 2 weeks after MP (Menstruation Period),leo hii unasema unaujauzto wangU!!!!!!!!!!!!! Tumektana kimwili lini????????
 
Back
Top Bottom