Bongolala

Trackit

Member
Aug 5, 2011
34
2
kuana sababu ya kupiga kura of no confidence kwa serikal sasa,sababu tunazo za kutosha: Giza nene,ufisadi wa kutisha, inasemekana tunaongoza barani Africa ,wanyama pori kuporwa,arth nzuri kugawana wakuu wa serikali,pesa yetu kuporomoka kwa kasi kubwa na sasa nchi imekosa mwelekeo.viongozi wadini wauza madawa ya kulevya uuuuuuuuuuuwi nimechoka mie watoto wetu watatulaani jamani thahabu inahamishwa tunaachiwa mashimo tupu tufuge mmbu.
 
nani apige?? wewe au wabunge??
kuna kitu unaficha hapa!
 
Back
Top Bottom