Bomoa bomoa sala sala

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
6,150
7,005
Kuna bomoa bomoa kubwa imefanyika kule salasala eneo la benaco...inasemekana wavamizi walivamia eneo hilo bila kuwa na vibali vya kulimiliki...wito wangu kwa watanzania wenzangu acheni kuvamia maeneo ya watu na pia serikali iwaandalie wananchi wke maeneo maalumu ya kuishi ili kuondoa migogoro ya Ardhi kila uchao!!
 
serikali gani ya kuandalia wananchi makazi?

Viwanja vya kigamboni tu wanachukua wenyewe, tena bungeni wanajibu kwa kiburi kuwa vigogo wamepewa kwa sababu wana uwezo wa kujenga......

Serikali hii ikiandaa mradi ujue ni wa wakubwa, walala hoi mtaishia kula kwa macho......
 
Masikini hatuna kimbilio wala mtetezi.
Tukikaa Jangwani ambapo ni walking distance na mjini, tunatimuliwa. Tukienda nje ya mji tunavunjiwa.
Kweli ni bora uwe godoro Ulaya kuliko maskini Bongo
 
Back
Top Bottom