Bold 9700 for sale

emilwayne

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
265
19
Nauza bold 9700 ambayo nimenunua England kwenye company inaitwa 3, hii sio bold feck zinazouzwa tanzania.. RIM huwa wanaleta bidha za quality ya tatu africa and bidha ya quality ya 2 asia and quality ya kwanza u.k and u.s.a, Naiuza and haina tatizo lolote,charge inakaa, ina accesories zote + box lake lipo japo cm siyo mpya saana! Bei ni 400,000,or call 0713079282.. Kumbuka hii ni bold 9700 first quality class
 
hahhahahahahaa kaka nimeipenda hiyo, ila kaka jua kwamba siku hizi makampuni ya simu bongo nikimaanisha Vodacom,Zantel Airtel, tigo wanapata hizi product directly kutoka rim, sasa sijui nazo ni feki au ni maneno yako ya kibiashara tuu.
 
Ndio wanaleta ila ni grade ya chini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom