Bodyguard wake hapa yupo wapi??? Au huwa haendi naye nje ya nchi???

THE GEEK

Member
Dec 10, 2010
90
32
Bartlett%20and%20Jakaya%20Mrisho%20Kikwete%20at%20Mystic%20Mountain.jpg

Bartlett%20with%20Jakaya%20Mrisho%20Kikwete%20and%20wife%20at%20Mystic%20Mountain.jpg
 
Mh!jamani rais alikuwa anajiburudisha kidogo!kiumli sijui imekaaje,yaani kwa mzee kama yeye naona haijatulia hata kidogo!!
 
Kiwete akiwa anakula bata anampiga pending bodyguard wake, hata akiwa anacheza viduku au akiwa anakamua vimwana wake, bodyguard pending
 
Mimi sijapenda kupanda vigari vya kuchezea watoto,yaani alikosa vitu vya kufanya mpaka kuchezea vigari tena akionekana kufurahia,sitaona ajabu siku tukimuona Ikulu akivichezea vigari hivyo na watoto wake
 
Kusoma si darasani tu. Ndoto inanijia kwamba baada ya hilo darasa na ufunuo kutoka Jamaica watoto wetu sasa wataitwa WATOTO KWANZA-Watajengewa viwanja vya michezo mijini na vijijini, viwanja vya mashuleni vitakuwa bora zaidi, wataepukana na Ajali za baiskeli, pikipiki na magari kwa kutocheza mipira tena ya karatasi kwenye viwanja ambavyo ni barabarara na waliojenga mahekalu kwenye maeneo ya viwanja vya michezo mahekalu yanapeperushwa kama sufi kuruhusu ujenzi wa viwanja. Naota kwamba haitakuwa lazima kwa watoto kupelekwa kunduchi beach kwa burudani kwani michezo itakuwa mingi.
 
Mh!jamani rais alikuwa anajiburudisha kidogo!kiumli sijui imekaaje,yaani kwa mzee kama yeye naona haijatulia hata kidogo!!

Mkuu kwenye redi bila shaka ulikuwa unamaanisha KIUMRI.....Hapo mzee anajipotezeshea pressure za home zinazomfanya hata suala la umri linakuwa pembeni..si unajua tena..uroda jipe mwenyewe
 
Mwacheni JK jamani alihitaji ganja, na akijua ile kitu ni legal huko jamaica ikabidi alazimishe urafiki hata huko. Tanzania tuna nini hasa cha kuiga Jamaica. Na sisi raia tupatiwe na sisi silaha nje nje. KITU KIMOJA AMBACHO SASA TUNAFANANA NA JAMAICA NI ULE UWEZO WA POLISI KUUA RAIA BILA MAELEZO.
 
Kusoma si darasani tu. Ndoto inanijia kwamba baada ya hilo darasa na ufunuo kutoka Jamaica watoto wetu sasa wataitwa WATOTO KWANZA-Watajengewa viwanja vya michezo mijini na vijijini, viwanja vya mashuleni vitakuwa bora zaidi, wataepukana na Ajali za baiskeli, pikipiki na magari kwa kutocheza mipira tena ya karatasi kwenye viwanja ambavyo ni barabarara na waliojenga mahekalu kwenye maeneo ya viwanja vya michezo mahekalu yanapeperushwa kama sufi kuruhusu ujenzi wa viwanja. Naota kwamba haitakuwa lazima kwa watoto kupelekwa kunduchi beach kwa burudani kwani michezo itakuwa mingi.

Nimeipenda hii
 
..hii Avatar yako mhh. i remember Physics ya form 5, SIPMLE HARMONIC MOTION
 
Baada ya kupata kamkia cha panya kembamba lazima uende juu kwa juu (glide) si unajuwa tena Jamaica?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom