Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 201
- 439
Sisi ndio madreva pikipiki aka bodaboda!Tupo road tukiendelea kuganga njaa
Hatari mno hiiDah! Utakuta kulikuwa na kaupenyo kadogo ye akaona hapa napita.
Acha kabisa Mtani.Hatari mno hii
Ma afisa usafilishaji kazini
Baelezwe baelewe kabla ya kulokota kunyavu. Hii kazi ya hatari sana. Batajikuta chini ya malori.Batalokota Kunyavu
😃😁CCM Imejua Kuwachota Akili HaoMaafisa usafirishaji wa CCM