Blogger Robert Alai(Kenya) atoa siri ya waliompiga Lissu risasi. Amtaja RC Makonda...

Wazungu wabaya sana, kamwe hawatafanikiwa kutuchonganisha ili wapate wakumshika mkono!

Madini yetu mali yetu. Siasa zetu watu wetu waache kumwaga damu zetu ili kupandikiza chuki.

Siku (trh 7/9/2017) Magufuli Pombe anapokea ripoti zake za kamati za makinikia ya Almasi na Tanzanite, Daudi Albert Bashite a. k. a Paul Christian Makonda alikuwa wapi??

Kumbuka kuwa hakuwepo kwenye tukio hilo pale Ikulu na ndiyo siku hiyohiyo mchana kati ya saa 7 na 8 mchana, Tundu Lissu alishambuliwa Dodoma kwa risasi kwa lengo la kumuua....!!

I hope ukweli kamili utajulikana tu siyo muda mrefu. Na ikumbukwe kuwa binadamu wote tumeumbwa na vichwa vyenye akili za kufikiri na siyo kufugia nywele tu.....

They pretend to be smart..... but there are people who are smarter than them... trust me!!
 
Hapo kwenye 'remember Magufuli is Raila's friend', what's the connection??

Nahitimisha kuwa, The most FEARED people in Tz by opposition ni JPM na Paul Makonda, sababu kubwa ya kuwaogopq ni utendaji kazi wao uliotukuka. Hii inasababisha wakubalike sana kwa wananchi hivyo upinzani wana WIVU.

Wewe humwogopi simba mla watu mkubwa?

I hope you do, as I do too...!!
 
Wazungu wabaya sana, kamwe hawatafanikiwa kutuchonganisha ili wapate wakumshika mkono!

Madini yetu mali yetu. Siasa zetu watu wetu waache kumwaga damu zetu ili kupandikiza chuki.
Kumbe wazungu hata ikulu wanaweza kupiga! Kama wameweza kupiga risasi zaidi ya 30 upenuni mwa spika na bado wakatoka bila hata kuonekana na vyombo vya ulizi hii ni hatari zaidi
 
Wazungu wabaya sana, kamwe hawatafanikiwa kutuchonganisha ili wapate wakumshika mkono!

Madini yetu mali yetu. Siasa zetu watu wetu waache kumwaga damu zetu ili kupandikiza chuki.
So wazungu ndio wamempiga risasi tundu lisu??
 
Wazungu wabaya sana, kamwe hawatafanikiwa kutuchonganisha ili wapate wakumshika mkono!

Madini yetu mali yetu. Siasa zetu watu wetu waache kumwaga damu zetu ili kupandikiza chuki.
Be clever jamaa , ukisema hivyo inamaana kupotea kwa Ben , Kutekwa kwa Roma , Clous kuvamiwa na Nape kutolewa bunduki mchana kweupe ni isu ya Madini ? Kweli ! na wahusika wapo ,, wengine tunawajua hajakamatwa hata msamaha kuomba mwingine amegoma! ebu ata kama ni unazi wa vyama weka pembeni, fikiria kwa akili yako tu nini kinaendelea apo..
 
Hapo kwenye 'remember Magufuli is Raila's friend', what's the connection??

Nahitimisha kuwa, The most FEARED people in Tz by opposition ni JPM na Paul Makonda, sababu kubwa ya kuwaogopq ni utendaji kazi wao uliotukuka. Hii inasababisha wakubalike sana kwa wananchi hivyo upinzani wana WIVU.
waogopwe Kwa utendaji upi? acha kujitia upofu wao ndio waoga Kwa sababu wanatafuta sana public and media attention. Kwani Magu käanza yy kutawala? Kwa nini aseme watu wanawashwa? Tatizo ni malezi aliyokuzwa anaamini ukipata nafas hutakiwi kumsikiliza mwingine. Ni yule MTU wa siku nikipata watanikoma
 
barafuyamoyo said:
Nahitimisha kuwa, The most FEARED people in Tz by opposition ni JPM na Paul Makonda,
How right you are dude, quite a pair...JPM na Paul Makonda, the most FEARED! Fuhrer Adolf Hitler and Reichsführer Heinrich Himmler, Idi Amin Dada and Isaac Maliyamungu, Kim un-Jung and Choe Ryong Hae and the list goes on...
 
Hii taarifa imetufikia kama mshtuko fulani vile, ikimhusisha Mkuu wa mkoa na uhalifu dhidi ya Lissu
Source Hiyo hapo chini, nimefanya my screenshot tu.

Kutoka kwa Robert Alai


=========

It is now emerging that a team of highly trained assasins led by the Dar’es-salaam Regional Commissioner Paul Makonda trained Singida East MP Tundu Lissu and made attempts on his life.

The team which was led by a close protection officer attached to Ikulu was directed to ensure that the MP was killed as he was becoming a thorn in the flesh of Magufuli.

The team used two cars, a Nissan Patrol and white saloon car to monitor the movements of the MP in Dodoma while RC Makonda coordinated the operation from a hotel in Dodoma. Makonda arrived in Dodoma one day before the operation with the sole purpose of executing the mission.

Some of the officers are close confidantes of Makonda whom he has used for other missions including the rain on Clouds Media Studio in March.

Sources within Ikulu indicate that President Magufuli is determined to eliminate any consistent voices criticising his administration. The President has continued to clamp down on free speech online, political meetings as well as mainstream media reporting on matters he doesn’t approve of.

In one scary move today, Speaker of Tanzania parliament has today threatened to ban MP Zitto Kabwe from ever speaking in the National Assembly. It makes others wonder what an MP would do in parliament if he is not allowed to speak.


RC Paul Makonda

Meanwhile, Tundu Lissu contracted a life-threatening chest infection at Nairobi’s Aga Khan hospital. The MP who is undergoing treatment at the same facility was in the High Dependency Unit (HDU) where he contracted the infection.

He is expected to fully recover soon.

Source: RC Paul Makonda Personally Supervised the Attempted Assasination of MP Tundu Lissu

Robert Alai Profile

Robert ALAI (@RobertAlai) | Twitter
Robert Alai Onyango - Home | Facebook
Robert Alai - Wikipedia
Caroline Mutoko shuts down Robert Alai after the blogger insulted her ...
Blogger Robert Alai freed after spending night in police cell | The Star ...
Fury after Kamukunji police detain Robert Alai for 'publishing sensitive ...
Blogger Robert Alai arrested after leaking photos of Kenyattas in ...
Police release blogger Robert Alai - Daily Nation
Robert Alai: This is why I 'deserted' Raila - Hivisasa.com
Controversial blogger Robert Alai apprehended for publishing ...

Watanzania tunaakili timamu,huu ujinga kaeleze wengine sio waTz
 
Wenye akili timamu wanahoji kwa maswali muhimu badala ya kukubali tu kwamba watu wasiojulikana ndiyo wamehusika na jaribio la kutaka kuchukua uhai wa Lissu. Usikubali kulishwa uongo kirahisi rahisi hivyo.


Watanzania tunaakili timamu,huu ujinga kaeleze wengine sio waTz
 
usiandike usichokijua...jaribu kushindana na akili yako mwenyewe kwanza kabla ya kuwasha moto usiouweza....
 
Back
Top Bottom