Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 3,884
- 3,807
Hapo kwenye unabii wa uongo nakuunga mkonoIle mipasho aliyokuwa akiitoa kanisani kwake ndio mambo ya kiimani yale? akaenda mbali mpaka kumfukuza mtu kwenye ukoo wao ndio imani yenu hiyo?
Tumeaswa kujihadhari na manabii wa uongo.