Na huyu mwanaume aliyevaa heleni nae mtoto wa Makamba au ndio serengeti yake?
tumbo vipi kama beyonce? au ndo hivyo dada zetu pilau kwa sana!!!
Huu ndio umbea
huo ni mwanya ama pengo..samahani.! Watu kwa kujibaraguza bana .Mungu awabariki na furaha zenu sisi wengine bado tunahuzuni ya maombolezo
<br />
<br />
thanks lil unaonaje amefunika ile mbaya,hapa naongelea gaun lake llvyompendeza
Mtoa mada na mie naungana na wewe Mwanvita makamba alipendeza kuliko hata mamiss wenyewe
Hapo hamna kitu...anasaidiwa na hela zake tu angekuw huku uswahilini kwetu ambako tunatumia vipodozi vya 500 na tunavaa nuo za bukubuku angekuwa hovyo kabisa...sioni kama ana urembo wowote, soamahani kwa kuwakwaza wale wanaomfagilialk mimi sijaona kinacomfanya mumfagilie...beauty is subjective!!!!
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!
sasa we hapo umeona cha kufagilia? nguo alovaa au urembo wake? naturally she is not beautifl...let us be fair!
sexy eyes.....
Ni kweli kabisa FL1