Bingwa ni Real madrid au Man city

IFRS

JF-Expert Member
Dec 19, 2014
2,904
5,168
HHistoria inawafavour atletico madrid kuingia fainali lakini historia pia inawanyima atletico ubingwa wa ulaya 2015/16.
Iko hivi
2005/06 Barca bingwa
2006/07 liverpool vs barca(last 16)liverpool anamtoa barca na kufika fainali na kufungwa na Ac milan
2007/08 Man u vs Barca (semi fainal)man u anamtoa barca na kuwa bingwa
2008/09 Barca bingwa
2009/10 inter vs Barca (semi final) inter anamtoa barca na kuchukua kombe
2010/11 Barca bingwa
2011/12 Chelsea vs Barca (semi final) chelsea anamtoa barca na kuchukua kombe
2012/13 Bayern Munich vs Barca(semi final) bayern anamtoa barca na kuchukua kombe
2013/14 Atletici Madrid vs Barca(quarter final) atletico madrid anashinda na kufika final na anafungwa fainali
2014/15 Barca bingwa.
Hii analysis inamaanisha for last 10 years timu yoyote iliyomtoa barca semi final ilichukua ubingwa wa ulaya.ila timu yoyote iliyomtoa barca mapema ilifika fainali na kufungwa
 
hlo haliwez kutoke koz huyo man city na madrid hawana kiwango cha bayern na barca xo atakayefuzu lazma tuu atapgwa na at madrid
huez kua mchambuz kwa kuangalia historia nadrid n tim ngum xana kufungika na tayar washaztoa tim mbil bora dunian go go at madrid
 
Atletico viungo woote wa kati wanakua mabeki aisee Real madrid dawa yao wanayo ngoja tupite kwa hawa watoto wa malkia kwanza...
 
bayern ilikua lazima atoke amecheza na timu ambazo hazikua katika ubora sana na amesumbuka kupita huko sijui porto..benfica harafu wawatoe Atletico ni ngumu sana pale kocha wa barc kabla ya mechi kukiri kuwa hakupenda kupangwa na Atletico nikajua vijana wa mbinu ngumu..
 
bayern ilikua lazima atoke amecheza na timu ambazo hazikua katika ubora sana na amesumbuka kupita huko sijui porto..benfica harafu wawatoe Atletico ni ngumu sana pale kocha wa barc kabla ya mechi kukiri kuwa hakupenda kupangwa na Atletico nikajua vijana wa mbinu ngumu..

Atletico timu ngumu naipenda sana
 
Back
Top Bottom