Binadamu hafi, bado mnabisha tu?

nakumbuka mara ya kwanza nilizaliwa marekani sijui kwa nini nimekuja kuzaliwa tena huku tanzania
 
katika Hinduism wanaamini reincarnation ... kwamba ukifa roho yako itahamia kwengine!.. as you know now days kila dini inajitahidi kuonesha miracles "VILEMA KUTUMBEA" hehehe! sasa wahindi wameleta kiroja hiki ku pprove kwamba belief yao ni ya kweli ... kwamba reincarnation ipo.

 
Hakya nani!muda si mrefu tutaambiwa nyoka ana ****** kama ya binadamu ila hayaonekani kwa sababu anatambaa
 
hahahahahahahaha na huku bongo ukipaka mafuta ya upako unatajirika,unapona mweee dini za vichochoroni zina mambo du!
 
Back
Top Bottom