kwanini Hisiwe Mji Ya Bahari Au Mikojo?
B.. hivi haya maji yakija huku na nnavyokujua kupenda vya ulaya,, utayaacha kweli B wangu??????? Na tumbo lako lilivyo bovu... Sijui wat next B...
B.. hivi haya maji yakija huku na nnavyokujua kupenda vya ulaya,, utayaacha kweli B wangu??????? Na tumbo lako lilivyo bovu... Sijui wat next B...
unaumwaje kabla wakati unakunya hatari mpaka sisi wapangaji wenzako hapa keko unatukwaza sana ukiingiua chooni ..humalizi kunyaaaa
Maji yote yalishawahi kuwa kinyesi cha fulani at some point. If you really want to get to the nitty gritty.
The world is one big recycling plant.
Unapokufa, maji yaliyo katika kinyesi chako yanaingia ardhini na kuingia katika water table, yanaenda kwenye visima na mito, tunakunywa hayohayo.
Ukiwa huelewi hili tu ndiyo unaweza kumshangaa Bill Gates.
Tena hayo anayokunywa Bill Gates yanaweza kuwa masafi kuliko maji wanayokunywa Watanzania wa hali ya kati.
Kwa maana ya kwamba maji wanayokunywa Watanzania wa kawaida yanaweza kuwa na bacteria kibao, mpaka wa cholera, wakati hayo maji yaliyochujwa kutoka kinyesi anayokunywa Bill Gates yameondolewa bacteria wote, yamebaki safi.
Mmmmh, kwani huyu baba. Bado ni mmiliki wa Microsoft corp?
Asha drop hata u chairman na ka liquidate his most shares
mavi kumbe yana matumizi mengi
kutoka kuzalisha gas na baadae umeme
kuja kwenye gongo
na sasa maji ya kunywa
Kiu ni kiu tu lazima ikatwe, ila kwenye chupa wasiandike wala mtu asiniambie hayo maji yametokana na kinyesi.
Teknolojia safi sana...ila anamoyo kuona kabisa kinaingia kinachujwa kinatoa maji aisee duh mi ningeanza kuumwa kabla ..
Mbona yana unjanonjano
Mhhh. mbona kama anayasikilizia? Yana ladha ya udambwi dambwi nini?
Mmmh wanywe wenyewe tu
Mbona sisi huku Arusha tuna bwawa la Mavi pande za darajani tunakunywa hayo maji bila kuyafanyia process ya kuyasafisha longtime na tunadunda!
Hapo mmegusia kitu cha umeme,itapigwa vita gharama za uendeshaji ni kubwa mno ,wakati wao wanatumia magari yanaokula mafuta mno ,kwa kuwa obey,upanga,masaki maji yanamwagika 24/7 watu wa tabata,kimara,na maeneo mengine ya nchi hawatapewa kipaumbele,ili dawasco isife itabidi mitambo hiyo ipigiwe zengwe hata kama darwasco inaonekana kuelemewa na idad ya watu wanahoitaji huduma toka kwao,Wasofikiria wenzao nawaona wakisimama wazi wazi wakitumia mamlaka yao kuelezea gharama kubwa sana kuziendesha hizi mashine bila kukumbuka kupitia magar yao ya maji wanamuuzia mtanzania dumu moja 500-1000Kina bill gates wanatuwazia namna ya kutupunguzia ugumu wa maisha,lakin wasimamizi wetu wanawaza watuumize vipi kila kukicha( bei ya mafuta imeshuka duniani tanzania bado ile ele).SHIKAMOO EDDO KUMWEMBE.
Windhoek, Namibia; zaidi ya asilimia 40 ya maji salama yanatokana na maji ya chooni. Kuna sehemu wana bwawa na mtambo wa kusafishia.