The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,401
- 12,985
Huyu ndiye Askofu haswa. Siyo wale design.....!!
Mwenyekiti wangu ni nani?JF imevamiwa na wapuuzi sana!Huwezi kustick kwenye hoja,unaishia kunipa majina nisiyostahili!We umeshaona uhalifu wa binadamu unavyokuwa jomba..acha bana utani..ujinga huo...eti nguvu ya pamoja, na kina Nani hao...viongozi wenu wenyewe wengi wametenda kuunga mkono juhudi za Mh. Rais...upo..? Utabaki wewe tu na Mwenyekiti wako
Ebu fafanua juu uzito wa RC over makanisani ya kilokoleMsajili anaouwezo wa kuyafuta ikiwa yataikemea ccm, tofauti Na RC ile ni serikali kamili
Unaongelea nini ?Pitia link hii huenda kuna kitu utajifunza.
Nadhani umekuwa brain washed kuwa viongozi wa dini kazi yao kubwa ni ile ya ushenga tu kati ya mungu na wanadamu. Lkn maandiko ya kale ndiyo anayofata mwanakondoo
Yesu Kristo aliuawa kwa sababu za kisiasa zaidi kuliko za kidini
Nilitamani maneno haya ya kiongizi wa dini yangetamkwa na Viongozi wa Madhehebu yangu pia, bali hawathubutu kwa kile wanachosema kuwa wapo kwenye subra. Hata hivyo dua ya Mh. Askofu naamini itawafikia viongozi wetu kwa vile nao hupenda kusema wanamtegemea Mungu.
Mh Mbowe umeongea machache but so deep, umejaaliwa ufasaha, hekima na busara.
Mungu azidi kukubariki.
Sio habari ya public figure mkuu ..wewe ni mmojawapo unayechukia matendo maovu yanayoendelea nchini ...vipi umechukua hatua gani?Public figure ni wachache nchi hii.usidhani kila raia ana utashi wa kusimamia na kupinga hadharani maovu ya serikali though wengi tunachukizwa na matendo ya serikali. kelvin marcus,
Msajili hana ubavu wa kulifuta RC hayo mengine anawezaEbu fafanua juu uzito wa RC over makanisani ya kilokole
Nilitamani maneno haya ya kiongizi wa dini yangetamkwa na Viongozi wa Madhehebu yangu pia, bali hawathubutu kwa kile wanachosema kuwa wapo kwenye subra. Hata hivyo dua ya Mh. Askofu naamini itawafikia viongozi wetu kwa vile nao hupenda kusema wanamtegemea Mungu.
Mh Mbowe umeongea machache but so deep, umejaaliwa ufasaha, hekima na busara.
Mungu azidi kukubariki.
Kanisa langu Katoliki lilifanya unafiki mkubwa ndani ya Kanisa.
Nilishangaa sana kumsikia Padre mwenye mamlaka makubwa katika Jimbo Kuu, akitamka kuwa, 'tulikuwa hatuna namna nyingine ya kuwa karibu na Serikali, zaidi ya kumchagua Askofu Nyaisonga kuwa kiongozi wa TEC kwa sababu huyu n!i rafiki binafsi wa Rais'.
Unajiuliza, unapokosa kumchagua mtu kwa merit, unakuwa bado umesimama na Mungu wa kweli au umeamua kuitumikia Duniani? Mbona akina Petro, Sila, Paulo, walikubali kufungwa na watawala kwaajili ya kusimamia haki badala ya kuungana na watawala ili wale mema ya nchi?
Chini ya Askofu Nyaisonga, hata Serikali ifanye uovu kiasi gani dhidi ya Raia, kamwe hamtakuja kusikia karipio lolote toka TEC. Kanisa limecompromise na Serikali kwa gharama ya haki za wananchi.
Msajili wao ndie basata?Yale hayawezi kemea uovu yanaogopa kufutwa Yale yako chini ya msajili
Yule aliyesema ataifuta chadema, ACT ijieleze kwann isifutwe ,aliyekuwa Swaiba wa Le profesele uswaiba ukakoma baada ya Le profu kulamba garasa.Msajili wao ndie basata?
Nilitamani maneno haya ya kiongizi wa dini yangetamkwa na Viongozi wa Madhehebu yangu pia, bali hawathubutu kwa kile wanachosema kuwa wapo kwenye subra. Hata hivyo dua ya Mh. Askofu naamini itawafikia viongozi wetu kwa vile nao hupenda kusema wanamtegemea Mungu.
Mh Mbowe umeongea machache but so deep, umejaaliwa ufasaha, hekima na busara.
Mungu azidi kukubariki.
Nchi nzima tungekuwa na viongozi wa dini wanaojitambua namna hii basi tungekuwa na nguvu ya pamoja kupinga maovu na uhalifu dhidi ya binadamu!
Wimbo huu unahitaji 'chorus', tumwite nani fundi wa tungo za 'chorus'!Wimbo wangu ni huu,
"CCM KUPITIA KWA KATIBU MKUU IMEDHIBITISHA KUWA INATUMIA VYOMBO VYA DOLA KUBAKI MADARAKANI"
Mahakama, Polisi, idara ya Watu wasiojulikana, Tume ya uchaguzi, wizara ya mambo ya ndani, Jeshi na vyombo vyote vya serikali, Bunge na vingine vyote vimepangwa kuipigania ccm ibaki madarakani. Kutakuwa na kutishwa, kupigwa, kuwekwa ndani, kuzuiwa kusema, kutekwa, kubambikiwa makosa ya uhujumu uchumi, mikutano kuzuiwa kutaendelea na maovu mengine ya vyombo vya dola dhidi ya vyama vya upinzani. Wimbo wangu huu utapata waimbaji wengi kadri tunavyoelekea uchaguzi. Wimbo huu utaimbwa hadi jumuia ya kimataifa itasikia.
Mateso hayatakoma bila ccm kuondoka madarakani kwani ndiyo inayoamuru wapinzani wateswe. Huu ni mchezo ambao hana tena fair play. Refarii na Kamisaa wote wamejiunga na timu tawala dhidi ya timu pinzani. Siasa za wapinzani kuomba ccm iwape haki ni bure. Wala kudhani kuwa dola inataka kutenda haki ni bure kabisa.
Polisi watawapiga tu sana, majaji walio makada watawafunga tu sana. Haki haiombwi. Tumieni nguvu ya umma kukomboa taifa lenu. Imbeni huu wimbo, aminini ujumbe wake, badilisheni mbinu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninayo kumbukumbu ya taarifa hii ulipoiwasilisha hapa jamvini kwa mara ya kwanza na kwa hakika hata nami ilinisikitisha sana kwa kanisa kuwa na msimamo wa ajabu sana kama huo.Kanisa langu Katoliki lilifanya unafiki mkubwa ndani ya Kanisa.
Nilishangaa sana kumsikia Padre mwenye mamlaka makubwa katika Jimbo Kuu, akitamka kuwa, 'tulikuwa hatuna namna nyingine ya kuwa karibu na Serikali, zaidi ya kumchagua Askofu Nyaisonga kuwa kiongozi wa TEC kwa sababu huyu n!i rafiki binafsi wa Rais'.
Wengine wanaokuwa wanafiki ni kanisa la CCM?
Kanisa za kujulikana ni za CCM? Watoa sadaka huko wote ni wana CCM?Njaa inamsumbua tu huyu ndugu eti anajiita askofu ,askofu wa kujisimika mwenyewe na hako kakanisa kake ambako hata kalipo hakajulikani,huyu ni mpenda kiki.
Jaji mtungi na Lipumba siku hizi hawaivi baada ya Lipumba kumdhulumu pesa aliyomwahidi baada ya kumsaidia kuipora cufYule aliyesema ataifuta chadema, ACT ijieleze kwann isifutwe ,aliyekuwa Swaiba wa Le profesele uswaiba ukakoma baada ya Le profu kulamba garasa.