Bila Haka Kasichana Sijisikii Raha ya kutoka Out.....!!!

Duh!! Haya sasa inabidi tutafute sehemu tupige visichana ili sikukuu iende njema si unajua BIRTHDAY ya EMMANUEL??!!

sasa b day ya ema ndo utanue na vibint ukivi preg itakuwa je
halafu na mashaka na wewe si eng wa ukweli mbona una maneno sana ????????? kam vile HGL then ukaenda kusomea public admni:teeth:
 
Hujakosea kabisa mimi kwangu ni KUTWA*2 yaani ASUBUHI na JIONI!!

haya bwana mkuu kazi kwako, naona hii kitu iko apeciality zaidi wala sio kiu tu, bali inategemeanaa na kazi unayoifanya, au nakosea engineer?
 
Duh!! Haya sasa inabidi tutafute sehemu tupige visichana ili sikukuu iende njema si unajua BIRTHDAY ya EMMANUEL??!!

Haina noma Eng, ila kale kasichana kanakovalishwa nguo ya nailoni hakafai, hakana stimu kabisa bora ile orijino!!!!!!!!
 
Duh!!Mimi Engineer wa ukweli mkuu!!
Hatutajua unawashwa mpaka ukijikuna
A%20S%20clock.gif

Hautajua VISICHANA mpaka uwe MNYWAJI!!!:spit::tea:

sasa b day ya ema ndo utanue na vibint ukivi preg itakuwa je
halafu na mashaka na wewe si eng wa ukweli mbona una maneno sana ????????? kam vile HGL then ukaenda kusomea public admni:teeth:
 
sasa b day ya ema ndo utanue na vibint ukivi preg itakuwa je
halafu na mashaka na wewe si eng wa ukweli mbona una maneno sana ????????? kam vile HGL then ukaenda kusomea public admni:teeth:

Wakuchakachua, nimeipenda hii!
 
Inategemea wewe Mhandisi wa nini hebu nambie mkuu??!!
VISICHANA vitamu si mchezo vinaleta munkari wa kupiga kazi bila kuchoka!!

Wa Mitambo FOE, Class of 1999.
Tusker Baridi sawa lakini sio Visichana na Vitu vya Arusha, Moro wala Dodoma.
 
Duh!! Ndo maana umemaliza stl inaitwa FOE??!!
Mimi ni wa CoET class of 2010!!sasa hapo ndo tofauti ya Engineer wa sasa na wa zamani!!

Wa Mitambo FOE, Class of 1999.
Tusker Baridi sawa lakini sio Visichana na Vitu vya Arusha, Moro wala Dodoma.
 
Tatizo lipo wapi Mama mbona kawaida sana!!!
Halafu wewe Mtoto nikipiga KASICHANA kamoja halafu ukiwa pembeni yangu mzuka sana!!

anaivuta huyu. Nyingine anachemsha anakunywa. Nyingine anajipaka mwilini.
We eng jamani. Mbona nakuonea huruma.
 
Duh!! Ndo maana umemaliza stl inaitwa FOE??!!
Mimi ni wa CoET class of 2010!!sasa hapo ndo tofauti ya Engineer wa sasa na wa zamani!!

Ni kweli kabisa Eng. Smasher, vijana sasa ni bange bange tu, ndo maana mkuu!! basi umefunga mjadala!!!
Endelea kukamata Visichana na Vitu vya Arusha, Dodoma na Singida pia!!! :) :teeth::teeth::teeth: ( I am just kidding Engineer!! )
 
Sio lazima kunywea kwenye glass ndo maana nimeweka vyote!!!!
Kwa wazoefu mbona safi sana hata haiunguzi maini!!
uthiogope njoo utest i hope uta enjoy sana!!

ni chai mbona umeweka vikombe??? nimewasoma huku nyuma wasema inakaanga maini na figo,,,, au ni sumu maana wazidi kunichanganya wallah,,,
 
Jamani haka KASICHANA kananikosha ile mbaya kila nikienda sehemu za sitarehe lazima nikatafute NIKATUMIE ndo niijisikie RAHA!!

Bila haka KASICHANA sipati usingizi vizuri usiku lazima nikaote,sio siri ni KATAMU sana coz sio kama yale MAJIMAMA yanalegeza sana mwili wangu ndo maana siyapendi!!!

Haka KASICHANA nakapenda sana lazima kesho nikatafute na niwe nako muda wote I HOPE WOTE MPENDAO VISICHANA TUTAJUMIKA WOTE!!!
MERRY Xmas and HAPPY NEW YEAR wanywaji wote wa KASICHANA(KONYAGI)!!!!
Mmh! am speechless kwakweli, haya inginia najua umechakachua za barabara kwahiyo unazo nyingi za kuhodhi wasichana(makonyagi) wengi tu leo na kesho mpaka mapambazuko ya mwaka mpya
 
ngoja nikamuulize hashycool mana ye mtoto wa kiafrica,,, huenda akantazulia utandu ,,, kwako nimetoka patupu naona vikombe na glass tuuuuu....
Sio lazima kunywea kwenye glass ndo maana nimeweka vyote!!!!
Kwa wazoefu mbona safi sana hata haiunguzi maini!!
uthiogope njoo utest i hope uta enjoy sana!!
 
Back
Top Bottom