Bil

BIL

New Member
Aug 17, 2011
1
0
Niaje wana JF mi mwanachama mpya naomba mnikaribishe jamani ni kichwa kipya toka Tz.

Kwa mustakabali wa maandiko yake hasa hili neno "jamani" ODM anawathibitishia pasipo shaka kuwa ni Ke....

Mpatanishi waweza anza kupatana naye.......

jamani babu kwani 'jamani' inatumiwa na ke peke yao

jamani babu kwani 'jamani' inatumiwa na ke peke yao
Si umeona mwenyewe hapo? We ni He au Ke? Thibitisha hapa, we mwenyewe ushalitumia.

Ukiona dume linatumia neno jamani mara kwa mara....ujue si rizki hilo

Kwa mustakabali wa maandiko yake hasa hili neno "jamani" ODM anawathibitishia pasipo shaka kuwa ni Ke....

Mpatanishi waweza anza kupatana naye.......
Babu una vituko.....lol!!

Similar Discussions

Back
Top Bottom