Big Up to JF Chit Chatters Dar Wing!!!!!!!!! Asanteni sana kwa kunipa Tabasamuuuuuuuu!!!!!!!!!

Paloma

JF-Expert Member
Jan 22, 2008
5,332
4,951
helloooooow JF Chit-chatters!!! Heshima kwenu nyote!

Kwa heshima na taadhima napenda kuchukua fursa hii kuwaSHUKURUNI nyote kwa dhati kabisa ya moyo wangu kwa kushehereka nami kutimiza miaka kadhaa(uuuuwi kwa spidi ya ajabu nakaribia naniliu...siwez hata sema hilo neno) katika dunia hii yenye mambo MATAMU Asprin anayajua yote) na machungu.

Hakika siwezi eleza ni kwa jinsi gani nilifurahi na kufarijika. Mtambuzi, Jeska na amu asanteni sana kwa maandalizi yaliyofana ingawa mwanzo mie nilijua UTANI TU!!!!!!!!

Asante kwa wote waliosongesha LEO TUPO HAPA na waliokuwa na nia ya kusongesha ingawa mambo yaliingiliana. NIlifurahi sana kuimbiwa ule wimbo maarufu....to be honest Invisible aliwafunika kwa kuimba kwa sauti tamu yenye mvuto na mnato masikionii!!! (hehehehe nisijepewa BAN). Kaizer, Ruttashobolwa, Madame B Chachu Ombara, kipaji halisi, KakaKiiza amu Mjeda Bujibuji Superman - aisee nyie watu mnajua kuimba - hivi mnaonaje mkaanzisha kwaya..........mtauza sanaaaaaaa.......!!!!

Zion Daughter, Mtambuzi asanteni sana. Mungu awazidishie barka tele mkienda kutangaza nia mpite asilimia mia!!! nicas Mtei...........tehetehe...big up sana!!! Asprin..........mbon-shavoo clemeeee....


mr n mrs measkron watu8 gfsonwin snowhite Jiwe Linaloishi cacico Mrs marejesho Filipo, Kipipi mwaJ figganigga Mwita Maranya – new baby wako hajambo? nivea charminglady na KOKUTONA nyie nimewabakshia keki! @king'asti Boflo ismail n juma @dr zero eliah g. kamwela Kijino Arabela -tanga rahaaa nimemisi biriani ya cappuchino.... tedo Voice of Wisdom – kweli ni ngumu kuamini kuwa nasogeza siku za kumiminiwa tani saba – inauma balaa, noahism BADILI TABIA C.T.U Tonykp TIQO Arushaone…………..eish the list is so long…. na wote wenye mapenzi mema na JF CC! Manake bila JFCC kusingekuwepo na hii makitu.

Msione kimya jamani nililkuwa Martinique Island na mumengwa Vin Diesel kwa besdei yangu tangu tulipoachana pale leo tupo hapa!

Mwisho kabisa,,,,,,,,,,,,,,,Strawberry Lips yangu jamani nani kajibinafsishia?!?! Ile ilikuwa zawadi yangu ya besdei from my hubby Vin Diesel!!!! sasa kuna mja kajibebea kama yake vile! jamani tuache utani - nataka lips yanguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!
 
hongera sana my dearest! huwez kuamini nilitaka kuja kabisa ila jirani yangu hapa kijijini kwangu alifiwa na baba yake just tell me napita wapi mie nikitoka kuja huko?? ilibidi nibaki kwenye msiba nikiwa najilaumu tu.

but nilifurah san akuona watu walikuwa pamoja na wewe.
 
hongera sana my dearest! huwez kuamini nilitaka kuja kabisa ila jirani yangu hapa kijijini kwangu alifiwa na baba yake just tell me napita wapi mie nikitoka kuja huko?? ilibidi nibaki kwenye msiba nikiwa najilaumu tu.

but nilifurah san akuona watu walikuwa pamoja na wewe.

usijali mpenzi, tutajumuika siku ingine Inshaallah, Mola akijaalia!
Love you mingi!
 
Mwisho kabisa,,,,,,,,,,,,,,,Strawberry Lips yangu jamani nani kajibinafsishia?!?! Ile ilikuwa zawadi yangu ya besdei from my hubby Vin Diesel!!!! sasa kuna mja kajibebea kama yake vile! jamani tuache utani - nataka lips yanguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!

Hiyo Strawberry Lips hebu muulize Zion Daughter, maana ilikuwa ubazi wake......LOL

Tupo pamoja Paloma nakiri kwamba shughuli nzima ilisimamiwa na Jeska na amu walifanya kazi kubwa sana, mimi nilikuja kumalizia tu... Lakini pia kwa kweli kuna haja ya kumpa Mjeda ID ya heshima hapa JF kwani alifanikisha White Party ingawa hakuhudhuria kutokana na majukumu yake kikazi maana anajiandaa kwenda DRC CONGO mwezi ujao kulinda amani, lakini pia hii Birthday yako alikuwa ni mmoja wa wadau waliofanikisha kile tulichokusudia..........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom