Naomba mwenye ufafanuzi wa uchumi kati ya china na Amerika maana kila siku naskia Amerika inaongoza kiuchum.
Nikirudi nyuma zamani tulikua na baiskeli za fonex zimefanya vizuri sokoni na ilikua mali ya China sasa hivi ukiingia sokoni kila mali ni made ini China.
Kiukweli za Amerika sizioni nikiingia kwenye simu nikiitoa iphone mali zilizobaki nyingi ni china sasa hapo ndo nawaza inakuaje america amzidi mchina hapo kwenye mabasi sijagusia.