Bibi yangu anahitaji msaada anaumwa naombeni msaada wajameni

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,498
605
JAMANI WANA JF bibi yangu anasumbuliwa na kitu kama kiko kwenye mfuko wa nyongo,ni kitu kama barafu sasa basi mwenye ufahamu ninamna gani tunaweza kupata dawa ya kuiyeyusha tumboni naombeni msadaa jamani
 
ebu eleza vizuri!! tumbo limevimba? akila anapata maumivu? barafu haiwezi kaa mwilini toa mfano wa maana na elezea namna navyojisikia. kuna mengi katika mfuko wa nyonga, yaweza kuwa mawe, nk. eleza vema.
 
Unamaanisha ana Gall stones ama?? sasa mzazi, si umpeleke jospitali maana hyo ishu ni nzito. acha umbayuwayu kutugeuza waganga wa kienyeji!!
 
Mpeleke hospitali haraka mkuu,
huku utapata dawa ila siyo ile ya fasta fasta,
wakati anatumia dawa ndo ugonge jf upate virutubisho mkuu.

JAMANI WANA JF bibi yangu anasumbuliwa na kitu kama kiko kwenye mfuko wa nyongo,ni kitu kama barafu sasa basi mwenye ufahamu ninamna gani tunaweza kupata dawa ya kuiyeyusha tumboni naombeni msadaa jamani
 
kama ni gall stones tiba ya uhakika ni surgery japo kuna dawa lakini hazisaidii sana
 
Back
Top Bottom