Bibi mwingine aibukia Mwanza

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,769
10,650
Roho ya ndoto za kutibu magonjwa sugu imeendelea kutenda kazi baada ya bibi mwingine hii leo kujitokeza huko Mwanza. Habari hizi nimekuta zinafikia mwisho hapo WAPO FM.
 
Anatakiwa aote ndoto ya kuwatibu samaki wa ziwa victoria wanaoteseka na kufa kwa sababu ya magugu naji na uchafu wa jiji lake la mwanza...!!
 
Mmh,
Nilisikiliza TBC1 saa mbili usiku J'tano kuhusu Margareth yule wa Tabora eneo la Uzunguni, hat mkuu wa mkoa alikwenda kunywa kikombe na akaongea TBC1
 
Baada ya muda serikali itabidi kufunga hospital na kuelekeza fedha zote za sekta ya afya kwingine maana sasa watanzania wameamua kurudia enzi za ujima
 
Back
Top Bottom