sportstore
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 453
- 1,609
Usidanganyike sana: Unafuu unaweza ukawepo lakini si bidhaa zote.. imagine hapo mtu yuko China anasema bidhaa hii utapata kwa 25,000 tu.. na kwa makusudi KABISA muuzaji huyo anajua gharama ya usafiri either anawaambia kiasi kidogo au hawaambii kabisa. Yaani mpaka mzigo unafika Dar unajikuta jumla umetumia karibia 55,000 na umesubiria miezi 2 hadi 3 au kwa ndege wiki 2 na wakati hiyo bidhaa dukani inaweza kuwa 65,000 tu bila usumbufu wowote.
Kingine makampuni ya cargo yaache uongo yote hakuna cha silent ocean etc.. maana wanavyojitangaza na uhalisi ni vitu viwili tofauti.. wanasema mzigo ni mwezi mmoja tu kwenye matangazo yao lakini kiuhalisi ni miezi 3. Imagine mzigo umesafiri kutoka china October 18 makadirio ni meli kufika November 13 lakini mpaka hii leo January 4 bado mizigo haijatoka wanakwambia iko bandarini na hao ni kampuni kubwa silent ocean.. So wanachokihubiri ni tofauti na uhalisi.