aBuwash
Senior Member
- Dec 26, 2023
- 118
- 215
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka21,
Nina mashine mbili moja ya kusaga na ya kukoboa mashine kubwa za kuzalisha unga wa kupeck.
Nina million kumi cash ya mtaji na mashine zipo complete kwa kuanza Kaz gharama frame, kufunga kuanza kazi
Sas nilikuwa natak hiki kiwanda nikiwekee dar Ila sas cjajua soko lipo vp changamoto za huo mkoa kuhusu hii biashara ipo vp, wapi patakuwa sehem nzuri kuzifunga ambapo wateja watafika kirahisi.
Naombeni ushauri na maoni juu ya hii biashara kwa mkoa wa Dar ipoje kwa anaefahamu atakuwa amenisaidia Sana.
NOTE: ZINA UWEZO WA KUHUDUMIA WATEJA WOTEWOTE JUMLA NA REJAREJA