Biashara ya nafaka au mkaa: Ushauri tafadhili

sawabho

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
5,286
3,107
Wakuu heshima yenu,

Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza nafaka ua mkaa, lakini baada ya kutafakari kwa kina nikaona kuwa kwa kuwa natarajia kuweka mtu wa kuuza wakati mimi nikihangaika na mambo mengine, biashara ya mkaa itakuwa mwafaka kwa sababu ni rahisi kuhesabu gunia zilizonunuliwa, hivyo, kupunguza uwezekano wa udanganyifu kuliko nafaka ambazo wakati mwingine itamlazimu kuuza reja reja kwa kupima kwa kilo, hivyo kuwepo na uwezekano mkubwa wa udanganyifu.


Naomba mwenye uzoefu na biashara ya mkaa anishirikishe uzoefu wake kama inalipa.
 
kama ulikua kichwani kwangu ndugu.. pia nina shida kama yako ila mie nabase sana kwenye biashara ya kuuza nafaka.. kama kuna mtu mwenye uzoefu wa hizo biashara atusaidie.. much thank to y'all..
 
Back
Top Bottom