Biashara ya kwenye maandishi tamu sana

Kazanazo

JF-Expert Member
Aug 16, 2023
687
1,360
Yaani biashara ni rahisi sana kwa kuongea na kwenye maandishi, wakuta mtu ananunua na kuuza na kupata faida kwa muda maalum kabisa kwa maneno yaani utazani ni one way hadi kufanikiwa.

Nawasihi tuu kwa wanaoanza from beginning hasa vijana waliokosa ajira na kulazimika kufanya biashara, biashara ni maisha fanya kama daily routine usiwe na matarajio makubwa sana wala usiifanye kimazoea.
 
Yaani biashara ni rahisi sana kwa kuongea na kwenye maandishi, wakuta mtu ananunua na kuuza na kupata faida kwa muda maalum kabisa kwa maneno yaani utazani ni one way hadi kufanikiwa.

Nawasihi tuu kwa wanaoanza from beginning hasa vijana wailokosa ajira na kulazimika kufanya biashara, biashara ni maisha fanya kama daily routine usiwe na matarajio makubwa sana wala usiifanye kimazoea.

Biashara ni rahisi ila watu ndo wanafanya biashara iwe ngumu.
 
Yaani biashara ni rahisi sana kwa kuongea na kwenye maandishi, wakuta mtu ananunua na kuuza na kupata faida kwa muda maalum kabisa kwa maneno yaani utazani ni one way hadi kufanikiwa.

Nawasihi tuu kwa wanaoanza from beginning hasa vijana wailokosa ajira na kulazimika kufanya biashara, biashara ni maisha fanya kama daily routine usiwe na matarajio makubwa sana wala usiifanye kimazoea.
Sahihi ata kuelezea kilimo katika maandishi ni rahisi ishu ni vitendo
 
Ugumu wa biashara huja kwenye suala la kuadapt, kwa sababu mara nyingi huwa kuna unforeseen circumstances zinazolazimu ubadili business model ili upate faida na biashara ikue. Sasa wengi tumezoea theories za darasani wakati kwa ground au mtaani mambo hubadilika muda wowote.
Upo sahihi mkuu biashara ni mapambano, ubunifu na uvumilivu sio tu kutafuta mtaji na kuanza ukazani ni lele mama
 
Ugumu wa biashara huja kwenye suala la kuadapt, kwa sababu mara nyingi huwa kuna unforeseen circumstances zinazolazimu ubadili business model ili upate faida na biashara ikue. Sasa wengi tumezoea theories za darasani wakati kwa ground au mtaani mambo hubadilika muda wowote.
Sasa ukitaka kuona ugumu zaidi jaribu kufata formula yamakaratasi hakuna rangi utaacha ona

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kivipi mkuu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app

Imagine mtu anafanya biashada kwasababu tu vunjabei anafanya.

Imagine tu unawekeza pesa za kuanzia biashara ambazo hujuwi zinafanyikaje.

Imagine tu kufanya biashara huna data ya biashara unayoenda kufanya.

Imagine tu mtu anakuambia nina laki hapa nataka nifanye biashara ila sijuwi biashara gani.

Hapo ukipata lost unaanza ohh biashara ngumu
 
Kitu kimoja nachoaminigi Kuna kitu wanasema WITO je wewe wito wako ni biashara? Maana Kama sio wote wachungaji basi sio wote wafanya biashara
 
Ukiwa na wito hutowah kuo a ugumu katika biashara, utainjoi changamoto na utakapofanikiwa ndo utajua kumbe nlitoka mbali.

Ila hawa ma mitaji lakini tatu ya kuanzia wakifeli wanafunja sana watu moyo kufanya biashara.
 
Kwenye kila kitu kuna kujifunza na kujifunza kuzuri ni kujifunzia field yaani ukiwa unafanya, tatizo wengi tunakuwa na matarajio makubwa kwenye biashara kutokana na mipango ya kwenye makaratasi
 
Back
Top Bottom