Hatuteseki mkuu , ukitaka kula nyama poa, usikose hata kuku nyumbanWala nyama tunateseka sana
Ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza yanasababishwa na mengi.iyo ishu ata mm nimewai sikia
💯Mkuu Ranchi ya Taifa wanafanya Hiyo kazi pale ruvu,kama sikosei unawapeleka pale unatoa gharama za malisho Kwa miezi mitatu wakishanawiri unaweza wauzia wao au kufanya utakavyoamua.Ila nahisi pia Uyole chuo Cha kilimo wanafanya nenda pale mkuu ukaulize hutakosa kitu.
Mkuu Ranchi ya Taifa wanafanya Hiyo kazi pale ruvu,kama sikosei unawapeleka pale unatoa gharama za malisho Kwa miezi mitatu wakishanawiri unaweza wauzia wao au kufanya utakavyoamua.Ila nahisi pia Uyole chuo Cha kilimo wanafanya nenda pale mkuu ukaulize hutakosa kitu.
sina hakika ngoja tumsubiri wajuvi wa mambo au ndio kwasabb nyama ya hizo vitu ni tamu balaa siku izi..Duh kuna wahuni nasikia wananenepesha kuku na nguruwe kwa vidgo vya uzazi wa mpango na ARV kama ni kwel tumekwisha.
Makuku mengi siku hizi yamechakachuliwa unakula kuku ana nyama yenye makambakamba.sina hakika ngoja tumsubiri wajuvi wa mambo au ndio kwasabb nyama ya hizo vitu ni tamu balaa siku izi..
Pamoja mkuuAsante sana mkuu
Ubarikiwe
Wengine wanawapa na Viagra wanachanganya na mbolea ya mahindiDuh kuna wahuni nasikia wananenepesha kuku na nguruwe kwa vidgo vya uzazi wa mpango na ARV kama ni kwel tumekwisha.
Hapa ni Lazima upate Elimu Ndugu!Habari zenu wadau.
Naomba kupata elimu ya Biashara ya kunenepesha mbuzi ili nije kuuza kwa faida.
Nipo mkoa wa Mbeya.
Kama kuna mtu anafanya iyo biashara Naomba connection.
🙄Wengine wanawapa na Viagra wanachanganya na mbolea ya mahindi
Yaani mardhi mtakayopata wataalamu watasema ni ugonjwa mpya na hawatajua umekujaje
Walikamatwa zamani sana waliokuwa wanachanganya na mbolea
Duh ni hatari sanaWalikamatwa zamani sana waliokuwa wanachanganya na mbolea