jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,974
- 1,401
Naomba kufahamu mtaji wa kufungua biashara ya duka la Foreign exchange kwa pesa za kigeni,Kima cha chini kabisa niwe na mtaji kiasi gani wa kuanzia,na Taratibu za kupata kibali cha kuendeshea biashara hapa kwetu,kwa mikoa kama ya DSM,MWZ na Arusha..