wa bukoba wako juu kwa bei ya kuwanunua na kuwauza maana hawana mchanga,Musoma pia wanafata mwisho wa mwanza maana wana mchanga sana.Bei pia hutegemea na soko la sehemu husika...watu wa pale wanapenda dagaa wa wapi haswa...
Mimi naitaji msaada naitaji kisafilisha dagaa Mwanza to Dar,je kuna ushuru wowote natakiwa kulipia?,msaada wenu ndugu zangu tafadhali.
Sio airportkisesaHa ha ha haa, kaka hilo jina lako, ngoja na mimi nijiite MZUNGUKOLUCHELELE
Dagaa wa kigoma bosi sio biashara ya kuanzia coz wana bei Kali sana yawezekana hata mara2.5 ya bei ya nyama so km ndo unaanza jaribu wa mwanza kwanzaHabari za asubuhi wakuu?
Naomba kufahamishwa aina ya hii ya dagaa kutoka kigoma inafanyikae kwa upande wa huko?
Hali ya soko lake iko kwa sasa? Bei yake kwa kuanzia ngazi ya gunia moja kwa huko kigoma na mpaka kuja kuuza miji mikubwa kama dar es salaam, mwanza, tanga na mikoa mingine, bei zake zikoje na hali ya soko kiujumla ikoje wadau?
Ahsanteni!
Poleni na majukumu wadau,me naomba kwa yeyote mwenye uzoefu wa biashara ya dagaa (wakavu) wa mwanza kupeleka dar,naomba kujua gharama za kununulia kwa wavuvi,gharama za kuwakausha pamoja na usafirishaji,soko lake na mtaji wa kuanzia na yote yanayohusu biashara hii.
Natangulza shukrani
================================================
MAJIBU KUHUSU BIASHARA
============================================
Mkuu hata kwa wanao anzia kilo mia hizo gharama zinahusika..usafiri wa mabasiMie nauza dagaa wa kukaangwa kutoka mwanza
Wasio na mchanga
Pakti sh 1000
Jumla pakti kuanzia 50 kila pakti sh 800
Ndoo ya lita 20 sh 60000
Nipo dsm 0714943735
Pia biashara hii kwa sasa inachangamoto sana
Mfano kule mwaloni wamepandisha bei sana
Pia kuna kodi ya ushuru
Kibali cha maliasili si chini ya laki 3
Na leseni ya kusafirishia mzigo si chini ya laki 3
Lakini ukiwa na mtaji wa maana faida ipo
Karibuni
Hahaha wachukue hapomimi nimewatamani tu ngoja waje