Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 8,290
- 8,511
Yaani...kuna kampuni inaitwa 4 corners alliance group iyo inahusika na uuzaji wa vitabu vya soft copy ambavyo ni vya ujasiriamali....kujiunga ni dola 18 ambapo dola 10 ni kwa ajili ya kununua kitabu na dola 8 ni kama registration fee...ukijiunga wewe kazi yako inakuwa ni kuinvite wengine kujiunga pia kwa kiasi hiko hiko cha dola 18.kila atakayejiunga kwako wewe km source unapata dola 4 kama faida kwako
Poa mkuu, ila kwa Tanzania hii niijuayo, issue za kusoma vitabu bado bado kidogo mpaka JP Magufuli aingie awamu ya pili labda.
Sikukatishi tamaa, endelea ku-Invite ila mimi hapana kwanza.