Mwenge mpakani na sokoni, ubungo standHabari wana JF.
Naombeni ushauri juu ya maeneo yenye wingi mkubwa wa watu kwa hapa Dar ambapo ninaweza kuweka biashara ya umachinga (urembo) ya mtaji wa milioni 2 na ikaenda vizuri.
Nimeplan kuuzia kwenye meza na sio kibandani.
Asanteni