Kwahiyo ukiokoka huwezi kutekwa?
Halafu unasema Yesu awe Bwana wa nani?
Mwanaume utakuwaje na bwana asee?
Yesu ni mwanaume mimi ni mwanaume halafu unadai eti awe Bwana wangu!!!
Mwanaume hawi na Bwana.
Ukiokoka Mungu anaweka ulinzi kwako Eroooh eg Meshack Shadrack and Abedbego walilindwa katika ule moto
Roho mtakatifu anaweza kukuepushia na Mambo kama haya
YESU ni Bwana
Hilo ujue.
Mungu.
Ana uwezo wa kulinda pasipo shaka.
Na Roho mtakatifu(Mungu).
Mimi sina Bwana wewe ndo Una Bwana.
Yesu ni Bwana'ko siyo?
Kama wewe ni Ke/Fe uko sahihi.
Ila Mwanaume hana Bwana isipokuwa shoga.
Inaumiza sana!!! Wakati nakua nilianza kitabia cha kupenda kuangalia sex videos ila siku moja nikamsikia mdada mmoja akisimulia yanayotokea nyuma ya camera, iliniuma sana. Toka siku ile nimeacha kabisaa. Ni unyama na wengi wanatumiwa kwa kuwa wana dhiki na baada ya muda wanaona poa tu coz wanakuwa washakata tamaa na kujiona wao ndo wamezaliwa kufanya hayo. Inauma sanaaaaaaa

Daaaaaah! Omba yasikukute ndo utajua how painful it is!
Pole sana bidada, yashawahi kukukuta?