Weee acha tu....Huyu mdogo wetu sijui kwa nini aliamua kuingia mitini (kule Dom na Makutupora tuliita kwenye mitunduru)!!
Ni siku njema sana Bro...
Rit. Gen. Ni kweli nimemiss sana kama umemwona gafla basi tufanye logistik
According to Asprin ni kwamba alikuwa maternity leave sijui itakuwa imeisha?
Yuko wapi huyu sweetheart?
Yuko wapi jamani my lovely Twinuska?
dc kaka mkubwa, glad to knw that... Well here I am.
Biggy iribini kazeeka bana, mo nilikonsive miezi 3 ilopita sa matenity mbona bado. Lol
@mj1 da sophy yy ndo kajifungua ako anakunywa mitori tu.
@b wa ukweli, ninako ka uncle ujue

i am here candies, peachez n switiz...
Hebu basi mdogo wangu sikia kilio chetu sisi wazee wako urudishe ile sura yako cuuute ya zamani..
Hii naona nikiingelea nitapgwa ban .....pleaaase!!!
i am here candies, peachez n switiz...