Beware na huyu Jack Shoo wa Facebook na mitandao mingine

ExpertBroker

JF-Expert Member
Jun 1, 2009
454
107
Kuna dada mmoja mrembo anajiita Jack Shoo anajifanya graduate wa Makerere University, anawasiliana na wanaume tofauti na kujifanya ana matatizo kakwama mikoani mara Bukoba, mara Mwanza na kwingineko ali mradi awanase wale wanaume wadhaifu wa kutoa tu pesa baada ya kusikia sauti ya kike, lakini pia picha zake alizoweka Facebook zinavutia sana!

Kwangu kachemsha kwani aliniambia yuko Bukoba mjini ati alienda kwa msiba wa rafiki yake ila kaibiwa, nikamwambia msiba ulikuwa wilaya gani, hajui, kijiji gani akabaki kujiumauma! Alichochemsha kingine ati kaibiwa siku ile ile ya kusafiri, kwenye saa nne asubuhina alikuwa aje na basi siku ile, but mabasi yanaondoka alfajiri!

Nilimhoji maswali kibao nikamgundua ni tapeli, japo yeye hakujua kama nimemstukia! Baadae nilimwambia kuna jamaa wana mabasi huko ngoja niwapigie wakupe ticket, daah, aliruka viunzi ati anataka cash! Baada ya kuwaeleza rafiki zangu wengine Facebook nikagundua kwamba kashawasiliana na watu wengine kibao but wanamstukia kwani utapeli wake ni old skuli!

Nimeleta kisanga hiki hapa jamvini ili kuwa-alert msije mkapigwa wadau, BEWARE JACK SHOO
 
huenda si jina lake pia! But huenda ni group la watu na hao wanaomtumia ndio bila shaka wamependekeza hilo jina
 
mimi katoka kunitumia Ujumbe huu sasa hivi Jack Bana
535852_357666904282819_100001185365487_902206_807384955_n.jpg
 
mwambien kaanikwa huku, na ikiwezekana mfill kwenye wall yake hz coments zote, xo zikopin na kuzipaste kwnye wall ake ajue tumejua....
 
Back
Top Bottom